Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Ni ugonjwa tena mbaya sana. Atakuangamiza. Nipe namba yake nikutibie mkuu
 
Nawe umeingizwa chaka? Huyo dogo hata girlfriend hana. Mke anayemzungumzia hapo ni sabuni

BTW Niko bize huku Mapwepande maporini namtafuta MO. Hebu nisaidie kama utaona sehemu yoyote Mzigua90 au Thad wamesema wanamwaga hayo makitu. Nina project nao ya marathon isiyohusisha mbio wala kutembea.
Babu asante kwa kunitangazia biashara, leo nimeshinda na kibarua cha kujibu PM za vidume vinavyoomba kunimwagisha maji. Sitaki tena marathon na wewe baki na mzigua wako😁
 
Back
Top Bottom