Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Usifirikie mazingira uliyonayo wewe yana apply kwa wote. Mimi nimeenda kuoneshwa mtoto kwao nikampenda nikaongea mbele ya mama yake dhamira yangu wakanikubali na taratibu za ndoa zikafuata. Kama hauamini sawa ila mema bado yapo
Mi ulivyosema visiwani tu nikaelewa mabinti wa huko wako radhi watoe tigo ila si uke
 
Una bahati kubwa mkuu hiyo kitu raha sana katika mapenzi.Ni mwanamke mmoja tuu anaweza squirt kati ya 1000
Mkuu hii kitu ni raha mwanzoni lakini inakera kwani godoro linaloa chapachapa ,sasa labda muwe mnahamia chini kwani unaweza kuweza taulo kubwa lakini linaloa chapachapa,ila yakitoka yanamoto mtamu sana
 
Wacha maneno check link hapo chin mkuu....ni sheeda hiyo kitu, only few girls can.
Wanawake wote wanafanya hivyo ila tofauti ni viwango tu wengine hutoa maji kabisa meengi wengine hutoa majia meupe mazito huwa meupe sana,chunguza utajua!
 
hapo hakuna cha ajabu. Nenda kwenye google then andika hilo neno squrting utapata maana yake hasa .pia utajua kwanini wnaweke wengine wanasquart na wengine hapana.
 
Hiyo ipo bt sio kwa wanawake ote na ule sio mkojo na huwezi kukuta harufu ya mkojo

Relax mkuu
 
Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa. Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili. Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?


Hamieni huku pugu kajiungeni tuna shida ya maji safi yasiyo na chimvi kuliko kawaida.Labda hayo yatatusaidia,mtapiga hela .maana naona ni chemchem ya kiani hiyo
 
Back
Top Bottom