Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

Sikatai hilo hata mimi, lakini hoja kama hiyo sio ya chadema tena, wao walishayakana matokeo hadi sasa na wamesema wamewafukuza uwanachama akina Halima, shida ya cdm ni nini hapo? Waache watu wengine walalamike lakini sio chadema.
Chama chao CHADEMA kinatumika kuwasafisha hao Covid 19. Huoni hilo? Tumia akili kidogo usijiaibishe. Aina ya akili kama hizi ndizo zinaendelea kutoliona kosa la Ndugai. Yeye Ndugai kama anawapenda sana hao wa mama, atafute namna nyingine ya kuwahifadhi huko bungeni lakini siyo kupitia CHADEMA. Nadhani utakua umeelewa sababu za CHADEMA kuja juu kuhusiana na hao Covid 19 kuendelea kuhusishwa na chama chao.
 
Kwani alitumia sheria gani kuwabakiza akina Zitto kwenye ubunge hadi mwisho wa uhai wa bunge? Mbona wakati ule wa akina zito Bawacha hawakuimba mapambio kama wakati huu. Njaa kitu kibaya sana.
Wewe una akili ndogo sana. Zitto Kabwe alikwenda mahakamani na mahakama ikaweka zuio la kufutwa uanachama wake akabaki kuwa mbunge hadi mwisho (aliitwa "mbunge wa mahakama"). Pia kumbuka Zitto hakuwa na makandokando katika kuchaguliwa ubunge wake ndiyo maana alikua na nguvu ya kwenda mahakamani, hawa Covid 19 nani kawachagua kuwa wabunge wa viti maalumu? Hadi aliyekua gerezani anatolewa usiku ili akawahi kuapishwa!!! Hawa Covid 19 waambie waende mahakamani uone kama wana nguvu hiyo, nguvu yao imebaki kwa Ndugai.
 
Akili yako ni ndogo zaidi. Kwani katiba yetu inaruhusu wabunge wa mahakama?
 
Chama chao CHADEMA kinatumika kuwasafisha hao Covid 19. Huoni hilo? Tumia akili kidogo usijiaibishe. Aina ya akili kama hizi ndizo zinaendelea kutoliona kosa la Ndugai. Yeye Ndugai kama anawapenda sana hao wa mama, atafute namna nyingine ya kuwahifadhi huko bungeni lakini siyo kupitia CHADEMA. Nadhani utakua umeelewa sababu za CHADEMA kuja juu kuhusiana na hao Covid 19 kuendelea kuhusishwa na chama chao.
Kesi ya akina Halima sio ya chadema tena, wao siwameshawafukuza? Kuwafukuza uanachama ndio adhabu yao kubwa kwa mwanachama mkorofi na wameshafanya hivyo, shida yao ni nini?. Ukiwaangalia usoni hao bawacha utagundua kuwa wanataka wao ndio waende bungeni badala ya akina Halima. Hii haiwezekani kwakuwa cdm haijatengua kauli yake ya kutoyatambua matokeo ya uchaguzi.
 
Spika anasema hao kina Halima ni Wanachama wa Cdm na ndiyo maana ya wao kuendelea kuwa wabunge kwa tiketi ya cdm, Cdm inasema hao sio tena wanachama wao na imepeleka barua kwa spika kumjulisha jambo hilo.

Ni hivi, kama spika angesema hao kina Halima sio wanachama wa chama chochote hivi sasa basi hapo cdm isingekuwa na haki ya kulalamika isipokuwa kesi ingebaki kwa spika kuvunja katiba kwa kuwaruhusu Watu wawe wabunge bila kupitia chama cha siasa lakini hivi sasa cdm inayo haki ya kulalamika kwasababu chama chao kinatumika kuhalalisha ubunge wa kina Halima kinyume na katiba ya nchi na kinyume na maamuzi ya chama chao kwani hao kina Halima wamefukuzwa chamani.

Ndugai ni spika wa ajabu sana, historia itamuandika hivyo.
Hiyo sio kweli, kwani spika anaweza kubatilisha maamuzi ya chama cha chadema? Kama chadema wana uhakika kuwa wameyakataa matokeo na wamewafukuza akina Halima shida yao iko wapi? Kwahiyo spika anaweza kuwalazimisha wayakubali matokeo?

Kama vikao halali vya chadema vimewafukuza akina halima na taarifa iko kwa spika na msajili wa vyama wasiwasi yao iko wapi?

Shida hapo ni bawacha wanataka kwenda wao bungeni sio kingine.
 
Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi una mshipa wa aibu kweli?

Kama natural justice haukuzingatiwa mbona walikata rufaa? Kama kulikuwa hakuna kikao halali mbona walikata rufaa?

Mwaka 2017 mwezi julai ulipokea barua toka kwa Lipumba juu ya wabunge wa CuF waliofukuzwa. Na wewe bila mashariti yoyote unayotoa sasa hivi uliridhia kuwafukuza. Iweje kwa hawa akina mama 19 ndio uwe na masharti?

Tumia akili na utambue kuwa katiba ni sheria mama.

Ndugai ameunajisi vilivyo mhimili huu... ukiangalia ile jinai ya kumpiga rungu mgombea mwenzake ilivyozikwa na yeye kushinda ubunge hata kuwa "supika" unapata ukakasi kujua tunaelekezwa wapi kama taifa...
Matendo yake yanayoendelea ni wazi kuna kitu kimejificha nyuma yake... au mpaka siku akisaula mjengoni ndio tutaelewa...
Mungu hajapata kumficha mnafiki...
 
Hiyo sio kweli, kwani spika anaweza kubatilisha maamuzi ya chama cha chadema? Kama chadema wana uhakika kuwa wameyakataa matokeo na wamewafukuza akina Halima shida yao iko wapi? Kwahiyo spika anaweza kuwalazimisha wayakubali matokeo?

Kama vikao halali vya chadema vimewafukuza akina halima na taarifa iko kwa spika na msajili wa vyama wasiwasi yao iko wapi?

Shida hapo ni bawacha wanataka kwenda wao bungeni sio kingine.

Spika anaiona barua ya Cdm (iliyoandikwa na katibu mkuu wa Cdm) inayowafukuza kina Halima uanachama wao kwamba inayo mapungufu kwa maana hiyo kwa mujibu wa Spika kina Halima wameonewa kufukuzwa uanachama, na kwa akiwatetea wanawake hao Spika yeye bado anawatambua hao kwamba bado ni wanachama halali wa Cdm na hivyo ni wabunge halali wa Bunge la JMT.

Spika wetu ana mambo ya ajabu sana.
 
Ndugai ameunajisi vilivyo mhimili huu... ukiangalia ile jinai ya kumpiga rungu mgombea mwenzake ilivyozikwa na yeye kushinda ubunge hata kuwa "supika" unapata ukakasi kujua tunaelekezwa wapi kama taifa...
Matendo yake yanayoendelea ni wazi kuna kitu kimejificha nyuma yake... au mpaka siku akisaula mjengoni ndio tutaelewa...
Mungu hajapata kumficha mnafiki...
Sina uhakika kama spika peke yake anaweza kuamua iwe hivi. Kumlaumu spika peke yake ni kuonyesha msivyofahamu ukubwa wa tatizo, mnaropoka tu, spika, spika, pika, pika
 
Sina uhakika kama spika peke yake anaweza kuamua iwe hivi. Kumlaumu spika peke yake ni kuonyesha msivyofahamu ukubwa wa tatizo, mnaropoka tu, spika, spika, pika, pika
Yeye ndiye aliyepanua kinywa kuutangazia umma kwamba ofisi yake imewabariki covid-19 na haitoshi akamrukia Nape alipokosoa...
Sasa nitaanza kuona spika akichambana na wale kina dada walioanza kumkibizia mwenge kwenye banda lake la nyasi...
Aibu tupu...
 
Kwani spika ndugai ndiye anayeilinda katiba? Ni nani anaelinda katiba isivunjwe? Kama Ndugai amevunja katiba kwenye hili mlalamikaji ni nani?

Mbona ni cdm tu kupitia bawacha ambao wanafufutika kama vifuu? Bawacha ndo walinzi wa katiba yetu? Kwanini hawaendi mahakamani kumshitaki ndugai kwa kuvuja katiba na kuwatambua akina Halima bungeni?

Kwani chadema siwamemaliza baada ya kuwafukuza uwanachama, au katiba yao inaruhusu wao kushinikiza kukazia hukumu zao za kiimla?

Ninawaomba watangaze kuyatambua matokeo ili spika apate pa kuanzia kujadili kama chadema wanaruhusiwa kuchagua watu wengine kuingia bungeni kuchukua nafasi za akina Mdee au laa kwa mujibu wa taratibu na kanuni za bunge. Lakini sio kuwatimua akina Halima na kuacha nafasi 19 wazi bungeni. Huo ni udikteta ndani ya chama cha siasa.

Chanzo cha tatizo ni akina mnyika kutangaza kutoyatambua matokeo yote hata ya wabunge waliochaguliwa na kuwakataza wasiende kula kiapo na kuhudhuria bunge. Hii ingekuwa tofauti sana kama Mbowe, Mnyika, Sugu, Msigwa, Lema, Lissu na Lema kama wangeshinda na kutangazwa washindi wasingekubali pia kuacha Kuala na kuhudhuria bunge. Tukumbuke kuwa madai ya chadema na wapinzani tangu 1995 malalamiko yao kila uchaguzi ni kuibiwa kwa kura na kuyakataa matokeo lakini hata siku moja akina Mnyika hawajawahi kuambiwa wasihudhurie vikao vya bungue. Safari hii kwakuwa wamepigwa chini wote basi hakuna kuhudhuria bunge. Huu ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine wa mitaani. Tuwaache akinamama wpate riziki na kuchangia hoja bungeni.
 
Yeye ndiye aliyepanua kinywa kuutangazia umma kwamba ofisi yake imewabariki covid-19 na haitoshi akamrukia Nape alipokosoa...
Sasa nitaanza kuona spika akichambana na wale kina dada walioanza kumkibizia mwenge kwenye banda lake la nyasi...
Aibu tupu...
Nijuavyo mm yeye spika ni kama loud speaker tu ya kukuzia sauti isikike lakini aliyeko nyuma ya mike ni MTU mwingine kabisa
 
Ndugai ni empty set ever existed .
Screenshot_20210506-192508.png
 
Binafsi siamini kama akili zake, kuna wakati inabidi ueleze umma kwanini unawatetea kundi lililofukizwa na hukuwatetea kindi lingine, wakati wote wameripoti kwako kwa njia sawa, je atajiona hana uwezo wa kufikiri vema, aidha aliamrishwa kufanya vile na mihimili mingine? Hivyo atakiri alikuwa anaburuzwa, si afya kwa mihimili wa Bunge!
 
Kwani akina Halima wanalipwa na nani kwa kuwa wabunge wa bunge LA Jamhuri ya Tanzania? Mbona mlipaji halalamiki wanalalamika cdm na kumlaumu spika? Kwani spika anawalipa hela zake kutoka mfukoni mwake? Kumlaumu spika ni kukosa weledi.

Kwanini hamtaki kumuuliza msajili wa vyama, waziri wa Katiba, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya ndani na waziri wa utumishi kwenye hili?

Na kwanini muulizaji awe cdm? Kazi ya cdm iliishia pale ilipoyakataa matokeo na kuwafukuza akina Halima baaaaaaaasi!! Kulikobakia ni mission towns na mbinu za medani za kutafuta maisha za akina Halima baada ya cdm kuyasusia matokeo na hatimae kufukuzwa uwanachama.

Kakojoeni mlale msubiri 2025
 
Back
Top Bottom