Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari yalishawasilishwa siku za nyuma.
Amesema chama hicho kimeipokea na kuisikiliza ripoti ya Jaji Chande...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam
" Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama cha Civic united front (CUF) kimepata hati ya Mashaka na Nationai reconstruaction Alliance (NRA)...
Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana na uchaguzi mkuu kutokuwa huru na haki.
Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku akiacha maagizo matano kwa mwenyekiti mpya, Mirambo Yusuf, likiwemo kuhakikisha anasimamia nchi kupata Serikali ya mpito.
Mbali na hilo, ameisisitiza upatikanaji wa Katiba mpya...
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Muembe Yanga Temeke Dar es Salaam Machi 11, 2012.
======
Waswahili wanasema “Mpanda ngazi hushuka” na “kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.” Hivyo ndivyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo, Said Miraji akitangaza matokeo leo Februari 22, 2026.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemchagua Mirambo Camil Yusuf kuwa Mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi iliyoshikiliwa na Profesa Ibrahim Lipumba tangu mwaka 1999...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama vya Siasa.
Februari 13, 2026 Msajili wa Vyama Vya Siasa alitengua ushindi wa Profesa Lipumba na safu...
Dar es Salaam. Makada watatu akiwamo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Bara, Othman Omar Dunga, wamepitishwa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa, iliyoshikiliwa kwa muda mrefu na Profesa Ibrahim Lipumba.
Wengine waliopitishwa kuwania nafasi hiyo ni...
Timbwili jipya limeibuka Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya wanachama wake kugawanyika katika pande mbili, wapo wanaoutambua uongozi uliopo na wengine wanaoukataa.
Chanzo cha mgawanyiko huo ni barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyobatilisha...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
Lipumba alichaguliwa mwaka 2024 kuendelea kuwa Mkiti wa CUF.
Chadema wanaposema tuungane kufanya reforms na kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi huwa mnawabeza.
Kwa huyu mama kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Kilichosababisha....
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM.
Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri.
Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi)
MSIMAMO WA CUF JUU YA TUME YA UCHUNGUZI ILIYOTEULIWA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN:
CUF- Chama Cha Wananchi kulikuwa Chama na Taasisi ya kwanza nchini kutoka hadharani na kutoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa na za Kikanda kushiniza kufanyika kwa...
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba kwa niaba ya chama chake cha Civic United Front, amesikitishwa na matokeo hayo yaliyomtangaza mgombea wa CCM kupata kura 97.66%.
Prof. Lipumba amesisistiza kuwa matokeo hayo ni ya kupika na hayawakilishi...
Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.