Mkuu hapna aisee...ahsante kwa offa..Chukua milio 220 faster kuna mchimba madini wa mererani nimemuonesha picha hz akataja hyo bei vip tuje pm au nikaushe tu
Swali Ameulizwa Mtoa mada,Mkuu hapna aisee...ahsante kwa offa..
Multiple idSwali Ameulizwa Mtoa mada,
wee unajibu na kuikataa offer Kama Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
I’d yake nyingine mkuuSwali Ameulizwa Mtoa mada,
wee unajibu na kuikataa offer Kama Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ID yako nyingine??Mkuu hapna aisee...ahsante kwa offa..
Jikite kwenye uzi mkuu...hahahah...mtamuua mdauHii ID yako nyingine??
Nyumba hiyo hiyo ipo kule fb kwa wale DSM brokers wanataka 350 milionsJikite kwenye uzi mkuu...hahahah...mtamuua mdau
Enewei...kwa hii ya leo bei imekaa nzur sana..hata mim nmekubal..maana plot tu iliyopimwa mbez hap ukubwa huo ni kipengele..plus the house itself..yan leo umetisha...ngoja nimrushie mtu fulan ana hela nying
Yeye kaongeza 100 Mil.Nyumba hiyo hiyo ipo kule fb kwa wale DSM brokers wanataka 350 milions
Mkuu unapotosha watu ..tuwekee hapa screenshot ya hiyo post ya dsmbrokers kuwa hii nyumba wanauza mil 350Nyumba hiyo hiyo ipo kule fb kwa wale DSM brokers wanataka 350 milions
Muongo anadanganya...athibitishe hiyo postYeye kaongeza 100 Mil.
Madalali ni tabu sana!
Sijapotosha na Sina vita na biashara yako lengo la biashara ni faidaMkuu unapotosha watu ..tuwekee hapa screenshot ya hiyo post ya dsmbrokers kuwa hii nyumba wanauza mil 350
Ahsant kwa ukumbushoLocation ni jambo muhimu sana.