Hehe unajua hii alinipa jamaa mmoja ambae badala ya kunipa msaada nilikuwa nimebanwa akaniambia maneno hayo.Kubanwa kwangu ilitokana na kuwa msamalia mwema.He... Makubwa! Hii mbaya, kwangu hapana mkuu Yo Yo. Basi ntakufa bila kufanikiwa maishani?
Ukitaka kufanikiwa kuwa na roho mbayaHe... Makubwa! Hii mbaya, kwangu hapana mkuu Yo Yo. Basi ntakufa bila kufanikiwa maishani?