Wakati mwingine tujifunze kumsifia mtu Akiwa hai. Ameshakufa ndo tuanze kutoa sifa zake? Ni unaaa
Tatizo lako ni zero brain.... marehemu mwenyewe alisema his death should be celebrated kenge maji wewe sijui unaongea pumba gani. Ukiweza fungua thread yake uandike content unayoitaka
 
Tatizo lako ni zero brain.... marehemu mwenyewe alisema his death should be celebrated kenge maji wewe sijui unaongea pumba gani. Ukiweza fungua thread yake uandike content unayoitaka

Hahahahahahahahaha unatukana kwa nn sasa? Akili ya mtu aliyekomaa kukosolewa ni ngazi za kufika mbali.
 
"
Pamoja na mapungufu yote ya marehemu, alikua ni mtu mwenye kuhamasisha na kutia moyo wakati wote vijana tupambane. Shiriki nasi msemo wowote wa marehemu wa kutia moyo. Awe alisema yeye mwenyewe or alidukua kutoka sehemu nyingine.
Pumzika salama Mr brain.

NB: mods msiunganishe huu uzi
"Makonda kwangu ni mtoto mdogo sana"
 
"Ndoto si ile unayoota ukiwa umelala; Ndoto ni ile inayokufanya usilale”
Rest in Power RUGE!!!
 
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe#ruge aliandika hii kwenye ubao wa kipindi cha runinga cha Mkasi mara tu baada ya kumaliza mahojiano yaliyokuwa yanaongozwa na Salama.
 
Back
Top Bottom