B BEHOLD JF-Expert Member Nov 17, 2013 5,057 10,715 Feb 27, 2019 #3,102 Mtu aliyepungukiwa na akili huonea watu sana. MITHALI 28:9
Ulongupanjala JF-Expert Member Apr 9, 2013 7,685 12,319 Feb 27, 2019 #3,103 "Amini unachoamini lakini mengine hayaaminiki"
Hawachi JF-Expert Member Nov 25, 2018 12,012 54,174 Feb 27, 2019 #3,104 "Usiishi wala kuamua kwa mahesabu yao"
Kirchhoff JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,369 7,611 Feb 27, 2019 #3,105 "Kwa kujua kusoma na kuandika ninaweza kufanya kazi yeyote halali. Endapo nitashindwa najua kutafuta msaada." IJM "As long as I can read and write, i can do any legal work. In case i can't, i know how to get help." IJM
"Kwa kujua kusoma na kuandika ninaweza kufanya kazi yeyote halali. Endapo nitashindwa najua kutafuta msaada." IJM "As long as I can read and write, i can do any legal work. In case i can't, i know how to get help." IJM
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 8,920 16,199 Feb 27, 2019 #3,106 "fanyakazi unayoipenda kamwe hutaona ugumu wa hiyo kazi"
Hawachi JF-Expert Member Nov 25, 2018 12,012 54,174 Feb 27, 2019 #3,107 "Kuna wakati utalazimika kuachana na marafiki ili upate mafanikio"
mkorea JF-Expert Member Aug 16, 2016 7,316 16,107 Feb 27, 2019 #3,108 Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa Sent using Jamii Forums mobile app
mwanazuoni mgeni JF-Expert Member Sep 11, 2016 1,944 1,712 Feb 27, 2019 #3,109 From profile picture to proper future From profile picture to proper future
imhotep JF-Expert Member Oct 13, 2012 46,674 71,041 Feb 27, 2019 #3,110 "Iko siku utakufa, kwa hiyo ukiua umetanguliza tu"
kadovela JF-Expert Member Jan 31, 2016 471 678 Feb 27, 2019 #3,111 if you can give, don't give up to give
rabiintocavel JF-Expert Member Jun 16, 2013 292 230 Feb 27, 2019 #3,112 Pesa sio mavuzi ukinyoa yanaota tu Sent using Jamii Forums mobile app
mitale na midimu JF-Expert Member Aug 26, 2015 10,420 17,701 Feb 27, 2019 #3,113 uamuzi wa kuwa mjinga au mwelevu katika zama hizi za teknohama uko mikononi mwako.
bush crazy JF-Expert Member Oct 4, 2018 757 1,020 Feb 27, 2019 #3,114 ugegedaji wa leo sio wa kesho!!
Gachuma jr JF-Expert Member May 20, 2018 839 450 Feb 27, 2019 #3,115 Mlango ukifungwa toboa ukuta toka … . Sent using Jamii Forums mobile app
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Feb 27, 2019 #3,116 "MBELE huchezi NYUMA hutikisiki" (Nzuri Pesa Feb 2019) "Akhera wanauliza utakwenda lini, DUNIANI wanauliza Utaondoka lini" (Nzuri Pesa Feb 2019)
"MBELE huchezi NYUMA hutikisiki" (Nzuri Pesa Feb 2019) "Akhera wanauliza utakwenda lini, DUNIANI wanauliza Utaondoka lini" (Nzuri Pesa Feb 2019)
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Feb 27, 2019 #3,117 Kama maisha hayaendi nenda ww mwenyewe
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Feb 5, 2018 6,957 8,073 Feb 27, 2019 #3,119 Leo yako inajenga kesho yako..
Spitzkoppe JF-Expert Member Feb 27, 2014 239 438 Feb 27, 2019 #3,120 "Kila siku itafika, na itapita" Sent using Jamii Forums mobile app