Umerudi kwenye formDuuuh haya sawa mkuu
Umerudi kwenye formDuuuh haya sawa mkuu
Kizazi cha watawala kupiga wapinzania wao RISASI, kiazi cha MADIKTEITA kuongezeka.... and what have you!Einstein:
I fear the day that technology will surpass our human interaction. The world will have a generation of idiots.
Einstein alitabiri kizazi hiki kinakaa kutukana wenzao wenye hoja.
Kizazi cha uzushi na chuki.
Mungu wangu angalia kizazi hiki ukinusuru kwa vifo vya 26/April ni wajinga tu. Wasamehe
nipo mbona nilikuwa kimya tuMkuu watu walikutafuta sana humu
ulikuwa umepotelea wp?
hahahaUmerudi kwenye form
Yupi huyo?Huyu nani
Share nasi hizo quotes chiefI like Jack Ma's speech n' his quotes...
Don't find customers for your products, find products for your customers!.


