hahahaKuongoza ni Kuongozana.


hii sentensi yako yenye maneno 3 tu nimecheka mwanzoni ila ina maana nzito sana ukiielewa, asante sana chief.Naomba unitafsirie,plzzBeing an entrepreneur is simply going from one mistake to the next. You must have the fortitude to continue on.
Kuwa mjasiriamali ni kukosea mara moja na zaidi, lakini yakupasa kuwa mvumilivu na kuendelea mbele pamoja na maumivu yote hayo ya kukosea.Naomba unitafsirie,plzz
Thank youuuuuuuuuKuwa mjasiriamali ni kukosea mara moja na zaidi, lakini yakupasa kuwa mvumilivu na kuendelea mbele pamoja na maumivu yote hayo ya kukosea.

Au vice versa...mkalimani wa lugha gani mumu!![]()
Au vice versa...
Sawa tutashirikiana mumu usijali.Swahili-Engilish![]()
![]()
Sure!?Sawa tutashirikiana mumu usijali.
Great things in business are never done by one person. They're done by a team of people.
Steve Jobs


