Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Man,

Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!

Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM

In short, source ilikuwa hotuba ya Mzee Makamba, na kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-

Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...

Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-

Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...

Cha ajabu, hata Mzee Mkapa amefariki... lakini kutokana na paranoia, wao wanaona kasemwa JPM...

Msikilie mwenyewe hapa...


Wewe huwa ni mchambuzi uchwara tu na ni virahisi kukujua pindi Kikwete,Makamba na hata Samia wanapoguswa. Huna tofauti na wafuasi uchwara wa makundi mengine kabisa.
 
Mwenye Enzi Mungu akutie nguvu na amani kuu milele yote! Aamina
 
Man,

Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!

Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM

In short, source ilikuwa hotuba ya Mzee Makamba, na kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-

Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...

Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-

Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...

Cha ajabu, hata Mzee Mkapa amefariki... lakini kutokana na paranoia, wao wanaona kasemwa JPM...

Msikilie mwenyewe hapa...



Kwa hisani yako nimeona video. Sijaona sehemu ambayo amelengwa Magufuli.
Ninachokiona kwa mleta mada ni inferiority complex na hiyo paranoia.
Wanataka kukuza Mambo bila sababu ya msingi.
Na tabia kama hii wanayo sana wanawake na baadhi wanaume wachache wenye tabia za kike kike za ufitinishaji.
 
Makamba alikuwa jeshi lipi akitumikia maana hakuna mwanajeshi anayepayukapayuka kama muimba taarabu
 
Kama vile mke wa ulimboka mke wa mawazo mke azory mke mvungi Hawa mbona hamuwasemei? Au lisu na saanane ni spesho zaidi? Au ndio kusema mmevaa unafiki mnasubiri akifa ndio mje muwataje? Leo ni mtakatifu mikono yake Haina damu? Nashawishika kusema CCM ni wazuri Kwa propaganda kiasi Cha kufanya chadema nao kuungana nao bila kujua kana kwamba Vifo vya kutatanisha vilianza kwenye utawala wa magu Tanzania tunasafari ndefu sana kupata kizazi kisichoyumbishwa
Orodha ni ndefu na haibadikishi maana yeyote kwani wote wameuliwa na wa CCM, kutowataja haimaanishi Magufuli ni mwema na kusema mabaya siyo propaganda za CCM.
CHADEMA ni wahanga wakubwa wa matendo yake ya kikatili ni upumbavu usiomithilika kusema kuwa wameingizwa kwenye mkumbo wa CCM. Magu alikuwa ni muuaji mpumbavu, nionyeshe ni wakati gani mwingine kulikuwa na kutekana na makundi ya wasiojulikana?
Huwezi kumtetea Magufuli kwa kujaribu kuwapakazia wengine NEVER
 
Leo CCM wamedhihirisha namna walivyo.

Mwenyekiti wa CCM Taifa alichokifanya ni kupoozesha hali na siyo kukemea upuuzi wa wazee wa chama ambao wamemtuma Makamba aseme kuwa wao ndo waliamua kukataa na kumtaka mungu wao afanye kilichomtokea JPM

Watanzania tunapaswa kutafakari sana haya maneno ambayo akina Nape, January na hatimaye yanasemwa kwa umma kupitia mkutano wa Kikatiba ws CCM.

Kuna maana kubwa sana kwa CCM kuendelea kushika madaraka. Nina mashaka namna vyombo vya dola vinavyonufaika na huu utawala wa kikatili wa CCM

Tutafakari. Tusiache kutafakari sana

2025 siyo mbali
Yote haya yanakutoka kwa sababu sababu ya kusemwa muuaji mwendazake?
 
Inawezekana ndio walifanya yale yaliyotokea kwa jpm
 
Yote haya yanakutoka kwa sababu sababu ya kusemwa muuaji mwendazake?
Awe muuaji au la lakini ni product ya hap hao wanaotuhadaa kuwa hawakuwa naye.

Pandisha akili kwenye fuvu kijana
 
Bado bwana mdogo huna hoja, kama ni product moja mbona walishindwa kumdhibiti?
Awe muuaji au la lakini ni product ya hap hao wanaotuhadaa kuwa hawakuwa naye.

Pandisha akili kwenye fuvu kijana
 
Kwa kweli Leo makamba katukwanza sana watanzania.eti kanasema mbaya alikufa na wazuri wapo wakina jakaya na January makamba kweli?huoni hapo anamuumiza mama janeth na sisi wazalendo?huyu mzee anawashwa na kundu lake
Zaidi ya kutukana huna hoja hapa.
Kwa nini mnamzungumzia huyo muuaji wenu kwa nini hamumzungumzii mama Maria Nyerere kwani mumewe yuko hai wanafiki nyie?
 
Kwa hiyo dikteta wenu alikuwa na mamlaka ya kuzuia ukame kuzuia mabadiliko ya tabia nchi yaliyosababisha ukame?
Hizo habari zenu za kilevi mnazodanganyana huko Chato tuletee na uthibitisho siyo hekaya za walevi
Pamoja Sana mkuu. Lingine tena
 
Watu hawaelewi. Mavura akateuliwa ubalozi Korea tokea jk anateuliwa kwani hakuna wanaofaa Tena. Anabakia kuandika kuwa watu wajiajiri Mara mbona wa Asia wamido east hawatembei na bahasha. Hata magerezani hawapo ,yaani anakuwa Kama Hana exposure so huko kwa wahindi hakuna walioko magereza ama wanaotafuta kazi.
Mara tuwe Kama kàiruki Wana chuo na hospital ili Nasie Koo zetu sizihangaike kwenye Ajira.
Angekuwa wa Mana wa Mana angeiachia iyo nafasi ili ayafanye hayo anayoongea. Ama easy said than done.
Ila bana unakuta mtu akakaa aka relax Hana stress hela uhakika. Akitaka anaweza safiri mpaka Germany ama brazil akala Latino America girls thena anawaona wanaomsumbua kumuomba kazi ama koneksheni Kama Ni kero kwake. Unakuta anapokea sms ya kuomba Msaada wa kazi huku anamasajiwa na matiti malaini ya mtt wa kifaransa anaona Kama Ni kero Mana inamtoa kwenye mood ya pleasure mpaka anakuja kuandika mtandaoni kuwa tujiajiri tuwe Kama Hawa wenzetu.
Wao mbona hawajiajiri. Hivi rizi amekosa mtaji wa kujiajiri ama Hussein mwinyi mpaka akagombea uraisi wa zenj. Mama Salma akakosa kujiajiri mpaka akaamua kukubali nafasi ya kukaa bungeni.
Mkuu hao wanatuchora tu. Mara utasikia mnapenda vya bure, wazuri hawafi, chuo kajenga babako, bei zitapanda as if hatukatwi kodi. Basi sawa wasiajiri walau waache hata maji na umeme vipatikane kama sio dharau ni nini ajira hawatoi tozo tukatwe umeme hakuna maji hakuna ukiwa uliza wanakwambia kuwa na shukurani wakati umeme ungekuwepo watu kama ni kujiajiri wangeweza.
 
Bado bwana mdogo huna hoja, kama ni product moja mbona walishindwa kumdhibiti?
Ukiishi kama robot hautakaa ufahamu kinachoendelea nje ya kichwa chako.

Endelea kusubiri wingu la mvua bwana artificial intel
 
Inategemea kiungo unachotumia kufikiria siyo ubongo, sasa hivi tuna Raisi wa sita kwa hiyo kila Raisi ajenge uwanja mkubwa wa ndege kijijini kwake alikozaliwa?
Je hiyo budget ya kujenga uwanja ilipitishwa na bunge?
Pia is it economic viable?
Watanzania mmerogwa na nani?
Natumia makali0 kufikiria mkuu. Tena yenyewe hayana Malinda. Ili nikusaidie. Yameshakuwa sugu mpaka tembo ndio yanasikia.

Niambie kamanda Kuna jingine.


Yani wewe umeona uwanja tu mkuu.


Unajua gesi Ni yetu Ila tumeiuza halafu tunainunua. Yaani nakuja kwenu baba yako ananiuzia miti baadaye mkitaka mti inabidi mnunue hapo. Kimetumika kiungk gani kuwaza labda
 
Mzee Makamba kakosea sana...Bora aache wahuni WA mitandaoni kuropoka hayo sio yeye
Heshima yako mkuu, Nina uhakika wa zaidi ya asilimia 200💯 hichi alichokitamka mzee makamba, alimaanisha na alidhamiria kabisa!...

Ni dukuduku/ fukuto lililokuwa likimsokota kitambo sana na alikuwa akitafuta mahala muafaka pa kulitapita! Hatimae amelitapika...

Hakufurahishwa kabisa, kijana wake kuonekana kama anatengwa vile kwenye utawala wa mwendazake. Ilikuwa ni kama vile makamba Jr anatengwa vile ama kusahaulika kwenye zama za mwenda zake.
 
Mama

Mama Janeth ajipe moyo mkuu Kama mke wa Azory Gwanda.
Azory aliisha lifanyia nini taifa hili au alikuwa na ugonvi hupi na Magufuli mpaka amuue? acheni siasa za maji taka,kila Mtu aliyekufa au kupata ajari kipindi cha Magufuli, Magufuli aliushishwa moja kwa moja,sasa huyo azory wapi na wapi na Magufuli?
 
Mkuu Mtazamo kumbe uneijua Injili yoote hii lakini ukawa unafurahia Lissu Kupigwa risasi?

Leo ndio umeikumbuka Injili?

Mbona maneno ya Makamba ni ya kawaida tu. Wale ni wanasiasa wanapenda kuambiana vimaneno maneno saa nyingine havina hata maana.
Hivyo vimaneno vina impact gani kwa jamii hilo ndio kubwa!! ?? Na ndio maana rais Samia hakuchelewa kutia neno la kurekebisha
 
Mkuu Proved...

Nikiri na mimi mwanzoni nilimshutumu sana Mzee Makamba! Baada ya kuona screenshot iliyomnukuu SSH, nikadhani SSH anamtetea tu Mzee Makamba, kwahiyo nikalazimika kutafuta clip.

Baada ya kuisikiliza, nikasema kama alichosema JokaKuu

Ajabu, nimeshambuliwa balaa, tena wengine nilikuwa nawaheshimu

Kwamba Mahasimu wake wana-capitalize hii kauli, I can confidently say, sio MAHASIMU wake!

Mahasimu wake ni neno zito sana! Wanao-capitalize hiyo kauli ni Walinzi wa Legacy! Hawana quality yoyote ya kuwa Mahasimu wa Mzee Makamba!

Hawa ni wale ambao wanataka misimamo ya kila mtu kuhusu Magu ni LAZIMA ifanane na wao, kinyume chake watakuona UNA CHUKI.

Hawa wanataka sote tuamini Ben Saanane, Tundu Lissu, Anzory Gwanda, Erick Kabendera, na wengine wengi tu hawakukutwa na jambo lolote kwahiyo tuwapuuze!

..Mzee Makamba hakuwa amemlenga yeyote yule aliyefariki.

..Pia tujiulize kwamba aliyefariki ndani ya Ccm ni Magufuli peke yake? Kwanini mtoa mada hakutaja wajane wengine kwa mfano mke wa marehemu Mzee Kawawa?

..Kwa maoni yangu Mzee Makamba alikosea aliposema kwamba Samia anaweza kufa. Na ktk jitihada za kurekebisha ndio akasema "watu wazuri hawafi..."

..Kama tungetaka kumchomeka Magufuli ktk suala hili, nafasi nzuri ni pale Mzee Makamba aliposema Samia anaweza kufa na Mungu akatuletea mwingine. Hiyo kwa maoni yangu ndio sehemu sahihi ya kumtuhumu amemsema Magufuli.

..Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kumburuza Mama Janet Magufuli ktk suala hili. Tunatengeneza kitu ambacho hakipo. Pia nadhani wanaofanya hivyo hawana nia nzuri na yule mjane, nia yao ni vita vya kisiasa ndani ya Ccm.
 
Back
Top Bottom