Umemaliza...Wote ukoo wa CCM . Watu wenye roho mbaya.

Man,
Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!
Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM
Source ilikuwa ni hotuba ya Mzee Makamba, kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-
Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...
Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-
Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...
Msikilie mwenyewe hapa...
Huwa nawaza sana huyu mama sijui anajisikiaje maskiniHabari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well![]()
Kumbe upo na huku pia,nikadhani huwa unaishia kutuongopea kule kwa Ukraine na Russia tuUkweli mchungu ni kwamba laana ya tundu lisu inawatafuna sana . MUNGU HAKULIACHA lipite hivi hivi
Kuna siku niliwahi kumuuliza ikiwa hivi kweli alikuwa mfuasi wa CHADEMA au alikuwa mfuasi wa Slaa!Mtazamo ni mshika begi wa Dr Slaa , sasa baada ya Magufuli kuzikwa bakhishishi zimeisha , ndio maana unaona ngonjera hizi , yuko na mwenzake Mwanakijiji
Wanamuita Mama yetu kipenzi kwenda kumdhihaki!Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well![]()
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Kwani ulimboka alifanyajwe kule mabwepande?
Huwa nawaza sana huyu mama sijui anajisikiaje maskini
I feel sorry for her.
Mungu wa Mbinguni azidi kumpa faraja.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi nipo mama nakuja hukoKumbe upo na huku pia,nikadhani huwa unaishia kutuongopea kule kwa Ukraine na Russia tu
Kabisa mkuuIna
Inawezekana ndio sababu?
Wako na Slaa toka kwenye UkatolikiKuna siku niliwahi kumuuliza ikiwa hivi kweli alikuwa mfuasi wa CHADEMA au alikuwa mfuasi wa Slaa!
Back in the days niliamini kabisa kwamba MTAZAMO alikuwa Mfuasi wa CHADEMA Kindakindaki!!
Baada ya Dr. Slaa kuondoka CHADEMA ndipo nilipokuja kugundua kumbe hakuwa mfuasi wa chama bali mfuasi wa mtu, na tangia hapo, ukiongea jambo tofauti kuhusu JPM tu basi lazima aku-brand kwamba una chuki...
Kama vile mke wa ulimboka mke wa mawazo mke azory mke mvungi Hawa mbona hamuwasemei? Au lisu na saanane ni spesho zaidi? Au ndio kusema mmevaa unafiki mnasubiri akifa ndio mje muwataje? Leo ni mtakatifu mikono yake Haina damu? Nashawishika kusema CCM ni wazuri Kwa propaganda kiasi Cha kufanya chadema nao kuungana nao bila kujua kana kwamba Vifo vya kutatanisha vilianza kwenye utawala wa magu Tanzania tunasafari ndefu sana kupata kizazi kisichoyumbishwaAnajiskia Kama mke wa Lissu alivyojiskia. Au mke wa been saanane anavyojiskia. Ila hakuna viumbe wanafiki Kama watanzania. Wanaona wengine wa maana kuliko wengine.
Jifunze hoja bila matusi ukitaka matusi utakuja kumwaga chozi sasa hivi sina utamaduni wa kumchagulia MTU tusiKwa akili yako aliyokuwa anayofanya huyo mmeo unaona Ni sawa kwa akili. Mwamba alikuwa anawatafutiwa mwanya wavunje sheria watengue contracts za madini za gesi ili iwe kwa faida yetu sote. Wewe unaropoka. Nikuambie wenye vidomo Domo wanamalizwa ili wanyamaze. Nchi nyingi mno wanafanya viongozi mkuu. Soma history.
Ila tuache, mie nilikuwa na machungu na nchi inavyoliwa na wachache.
Hao anaowaona wazuri hawatokuja kufa?Nanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Hii kauli ndio imeleta utata huko.
Magufuli kusemwa tu inakuwa nongwa wakati yeye si tu aliwasema watu bali aliwanyang'anya Uhai kabisa?Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well![]()
Hujawahi kuwa na akili ndiyo maana.Alipomchagua Mwendazake kuwa mumewew kwa tabia zile akubali kubeba matokeo ya Matendo na kauli za Mwendazake..
Mimi huwa mafurahi Sana mnapoumia maana yule jamaa alikuwa anadhalilisha utu wa Wendie hadharani kwa kutukana na kutokea Sasa ashukuru amekufa Ila ndugu zake walionkaribu watabeba madhara yake daima..
Huwezi mtukana mtu mzima eti mpumbavu hadharani
Nimekuelewa mwamba. Ujue smt emotional pains. Pia na hasira. Ila namwaga chozi tu Kama ukinipiga Ila mie huwa tusi huwa sipgopi. Niko emotional stable na matusi. Sema na hii emotional ya hasira bado napambana nayoJifunze hoja bila matusi ukitaka matusi utakuja kumwaga chozi sasa hivi sina utamaduni wa kumchagulia MTU tusi
Na hapa duniani ukimfanyia mwenzio ubaya jua malipo yato usifikiri tundu lisu anavyo umia MUNGU anapenda!