Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Sikiliza trend ya mazungumzo alikuwa anaongea akimlenga nani, akaja na hilo la shemeji.

Pili asingeshindwa kusema Bashiru ni shem wangu, na sidhani kama wana ukaribu wa kuitana shemeji

..nimesikiliza hotuba ya Mzee Makamba.

..alipozungumzia masuala ya ushemeji alikuwa anajenga hoja yake kumshambulia Dr.Bashiru.

..Mzee Makamba mke wake ni Mhaya. Na Watanzania tuna utamaduni wa kuwaita shemeji / wifi wenyeji wa maeneo walikotoka wenza wetu.
 
Katika awamu ya nne Chadema washapigwa hadi mabomu we unashangaa risasi tu.
Hivi wahusika walikamatwa? Sikumbuki vizuri.

Ila pia 2001 na huko zanzibar cuf walipigwa risasi na watu wakafa pakachafuka hadi wazanzibari wakakimbilia huku bara.
Kuonyesha huna afya ya akili walipigwa mabomu halafu wakauliwa?
Pili hoja hapa ni nini kama una afya ya akili kwamba awamu zingine zinatetewa au unazungumzwa ukatili wa bwana yule?
Zote ni serikali dhalimu za CCM ambazo kwa majira zote wapigania haki za binadamu wamepaza sauti kuonyesha mapungufu yao.
Wenye akili walikuwepo waliona ila wewe sukumagang hukuwepo nadhani, tulikuwepo tuliona na tulipaza sauti ila huyu muuaji wa Chato mungu wenu kazidi
 
We umeniuliza awamu gani wapinzani waliwahi kupigwa risasi kama Lissu.
 
Kuonyesha huna afya ya akili walipigwa mabomu halafu wakauliwa?
Pili hoja hapa ni nini kama una afya ya akili kwamba awamu zingine zinatetewa au unazungumzwa ukatili wa bwana yule?
Zote ni serikali dhalimu za CCM ambazo kwa majira zote wapigania haki za binadamu wamepaza sauti kuonyesha mapungufu yao.
Wenye akili walikuwepo waliona ila wewe sukumagang hukuwepo nadhani, tulikuwepo tuliona na tulipaza sauti ila huyu muuaji wa Chato mungu wenu kazidi
Wewe mjinga mabomu ya Arusha hayakuuwa? Au ulikua Bado tumboni Kwa mama yako?
 
Back
Top Bottom