Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Ila kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kujenga uwanja mkubwa wa ndege kijijini Chato kwako furaha?
Prove hizo shutuma zako kwa Lissu acha upumbavu na hilo dikteta lenu hata huko afe tena
Kwani Chato sio Tanzania mkuu. Raisi Sasa aendew kwa gari jamani nyumbani. Ila tuachane hizi mambo Mana Ni ishu za biasennes and beliefs.
 
We hasira yako ni kama yangu mi mwenyewe sipendi nchi ya watu 61M inaliwa na Koo tatu tu.
Watu hawaelewi. Mavura akateuliwa ubalozi Korea tokea jk anateuliwa kwani hakuna wanaofaa Tena. Anabakia kuandika kuwa watu wajiajiri Mara mbona wa Asia wamido east hawatembei na bahasha. Hata magerezani hawapo ,yaani anakuwa Kama Hana exposure so huko kwa wahindi hakuna walioko magereza ama wanaotafuta kazi.
Mara tuwe Kama kàiruki Wana chuo na hospital ili Nasie Koo zetu sizihangaike kwenye Ajira.
Angekuwa wa Mana wa Mana angeiachia iyo nafasi ili ayafanye hayo anayoongea. Ama easy said than done.
Ila bana unakuta mtu akakaa aka relax Hana stress hela uhakika. Akitaka anaweza safiri mpaka Germany ama brazil akala Latino America girls thena anawaona wanaomsumbua kumuomba kazi ama koneksheni Kama Ni kero kwake. Unakuta anapokea sms ya kuomba Msaada wa kazi huku anamasajiwa na matiti malaini ya mtt wa kifaransa anaona Kama Ni kero Mana inamtoa kwenye mood ya pleasure mpaka anakuja kuandika mtandaoni kuwa tujiajiri tuwe Kama Hawa wenzetu.
Wao mbona hawajiajiri. Hivi rizi amekosa mtaji wa kujiajiri ama Hussein mwinyi mpaka akagombea uraisi wa zenj. Mama Salma akakosa kujiajiri mpaka akaamua kukubali nafasi ya kukaa bungeni.
 
Sasa we una utajiri gani kapuku wewe? Mtu unategemea mshahara wa kupiga domo, simu yenyewe kila leo ukipiga screenshot inaonekana ni INFINIX, utajiri upi?? Mafukara mna mambo ya hovyo sana.

Akili gani ulizonazo kiasi cha kuwaita wenzio wajinga, kama Nyerere hakuwa na akili umewahi kujiuliza kwanini hakuwa babako? Watu kama nyinyi hata mimi nanyunyiza tu risasi.
Ndo huo huo mshahara hao makapuku/wanyonge wa Mwendazake hawana.

Una stress Sana ndio maana unatokwa na mapovu Sana na ulivyo maskini wa akili na Mali unadhani simu ndio utajiri 😁😁

Mwisho unataka kuwa na decent life au kuwa tajiri? Utajiri sio wa kila kima ,nyie wengine mtaishia kuwa walamba makalio tuu.
 
Kwani chato sio Tanzania mkuu. Raisi Sasa aendew kwa gari jamani nyumbani. Ila tuachane hizi mambo Mana Ni ishu za biasennes and beliefs.
Inategemea kiungo unachotumia kufikiria siyo ubongo, sasa hivi tuna Raisi wa sita kwa hiyo kila Raisi ajenge uwanja mkubwa wa ndege kijijini kwake alikozaliwa?
Je hiyo budget ya kujenga uwanja ilipitishwa na bunge?
Pia is it economic viable?
Watanzania mmerogwa na nani?
 
Poa ngoja Basi Uhuru upo na demokrasia. Subiria watumikie wananchi wame relax. Vipi umeme ,.maji unapata ulipo lakini. Umesaini software ya tokea India ya 69bn kufuatilia umeme kukatika. Umecheki behewa. Sheria inakuja inatakiwa uwe na Taifa gesi ndani yako lazima. Bwawa la nyerere tunalizungusha kwanza ili tupate umeme wa gesi kwanza. Subiria tutor ardhi ya bagamoyo 100yrs kwanza. Mapato ya bandari yanaenda kwa wachina sema huku nje unafumbwa. Miktaba ya madini inaletwa uzito mdogo ili tule kwa urefu wa kamba upo lakini
Kwa hiyo dikteta wenu alikuwa na mamlaka ya kuzuia ukame kuzuia mabadiliko ya tabia nchi yaliyosababisha ukame?

Hizo habari zenu za kilevi mnazodanganyana huko Chato tuletee na uthibitisho siyo hekaya za walevi
 
Habari mama,

Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.

Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.

Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.

Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.

Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!

Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!

Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well
Naimani atausoma huo Utenzi umfariji
 
hivi namna hiyo mnayofikiria ndiyo hiyohiyo wazazi na ndugu wa ben saanane wanavyofikiria? kuna watu wana uchungu kana kwamba wangepewa mike wangeongea zaidi ya alichoongea huyo mzee.
 
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Kiungo unachotumia kureason kina walakini, kama ni hivyo kulikuwa na ulazima gani wa kuiba kura?
Kwa nini hadi leo hamtaki tume huru yauchaguzi?
 
Wale watu 5 waliouwa na bomu pale Soweto kwenye mkutano wa chadema wakati huo rais akiwa jk na katibu mkuu wa ccm akiwa kinana huyo mungu wako atalipa lini?

Vipi mungu wako atalipa lini ile kadhia ya Mwangosi na Ulimboka?

Alianza na shetani zaidi.
 
Ndo huo huo mshahara hao makapuku/wanyonge wa Mwendazake hawana.

Una stress Sana ndio maana unatokwa na mapovu Sana na ulivyo maskini wa akili na Mali unadhani simu ndio utajiri

Mwisho unataka kuwa na decent life au kuwa tajiri? Utajiri sio wa kila kima ,nyie wengine mtaishia kuwa walamba makalio tuu.
Humu Jf kuna mlamba matako zaidi yako na chawa wengine, ni nani asiyekujua? Si unaona hata sasa unayalamba ya mzee Mkamba. Nani mwenye maisha yake atafanya kazi ya uchawa??

Hata kama simu sio kigezo cha kuwa na hela sio kwa matumizi ya INFINIX bwana, halafu bado upo kuimba mapambio humu kumsifia bibi yako na kuita wenzio masikini wakati wewe ndiye fukara.

Unamuita Nyerere mjinga, kwanini nafasi yake hakuishika babako?
 
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.

Hakuna mwenye tatizo na Magufuli kushinda, tulitaka atangazwe kwa kura halali basi. Na kwakuwa kura halali zilikuwa hazifikii matamanio yake ndio maana akapora mchakato.
 
Kwa hiyo 2025 utashinda kwa kishindo?

Kwa kishindo kwa uchaguzi upi? Hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura ndio unaongelea kushinda kwa kishindo?
 
Unazungumzia ubunge na udiwani si ndio? Maana kwenye upande wa urais mlisha ridhia kwamba hiyo ni nafasi ya ccm tu nyie mtagawana nao ubunge na udiwani tu.

Hiyo ndio tofauti unayoizungumzia ya hali ya uchaguzi?

Kama unapata wabunge na madiwani wengi, tena huku ukiwa unaibiwa, urais unaukosaje kwa mfano?
 
Ajue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.

Aamina
 
Back
Top Bottom