Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Heshimu hisia na machaguzi ya mtu, kutomoenda wewe sio lazima wote tuwe hivyo. Tupo aligusa maisha yetu huwezi pendwa na wote na huwezi kubarika na wote. Nina mpenda nitamkumkumbuka daima ni rais wangu daima moyoni na akilini

Kalinde kaburi chato. Kumpenda hakuzuii ukweli kuwa lilikuwa jizi la kura.
 
Kalinde kaburi chato. Kumpenda hakuzuii ukweli kuwa lilikuwa jizi la kura.
Sawa mkuu. Ningekuwa na hicho kibali ningeenda kulinda kaburi. Nina mpenda sana.. Wewe na kundi lako kumchukia hakufanyi moyo wangu ugeuke yeye ni Rais wangu ingawa kafa
images (1).jpeg
 
Ukweli ni kwamba Lissu kupona ndio kulikomfanya yule dikteta afe maana hakuamini ameponaje. Kupona kwa Lissu ndio kilikuwa kifo Cha dikteta. Damu ya mtu ni nzito kuliko maji.
Poa ngoja Basi Uhuru upo na demokrasia. Subiria watumikie wananchi wame relax. Vipi umeme ,.maji unapata ulipo lakini. Umesaini software ya tokea India ya 69bn kufuatilia umeme kukatika. Umecheki behewa. Sheria inakuja inatakiwa uwe na Taifa gesi ndani yako lazima. Bwawa la nyerere tunalizungusha kwanza ili tupate umeme wa gesi kwanza. Subiria tutor ardhi ya bagamoyo 100yrs kwanza. Mapato ya bandari yanaenda kwa wachina sema huku nje unafumbwa. Miktaba ya madini inaletwa uzito mdogo ili tule kwa urefu wa kamba upo lakini
 
kila mtu na mtazamo wake...
kila mtu na hulka yake...
ila kipato huleta majivuno cheo nacho pia mamlaka ya kulevya....
Sio kila mzee ana busara kumbuka hata wapumbavu pia huzeeka...

Watamdiss sana magufuli lakini kila mwenye macho na mzalendo aliona maendeleo aliyo yafanya...
r.i.p 𝕞𝕒𝕘𝕦𝕗𝕦𝕝𝕚

Acha watu wamdiss. Tangu Magufuli amlime risasi Lissu nilimchukia Sana. Bora Mungu alimponya Lissu mtu mwema.
 
Angekubalika angeiba kura 2020?.
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
 
Habari mama,

Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.

Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.

Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.

Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.

Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!

Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!

Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well
Angekuwa nae anampenda Mumewe kihivyo muda mchache baada ya Kumzika angempigia Simu Mama yenu ( Mtemi ) aende akachukue Fedha nyingi zilizofichwa katika Chumba Maalum ( ambazo nikitaja Kiasi hapa ) Watanzania wote mtakasirika mkijua?

Ninaomba tu niishie hapa tafadhali..
 
Wengine hatukuwepo ...walisema nini?
Man,

Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!

Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM

In short, source ilikuwa hotuba ya Mzee Makamba, na kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-
Wewe ni dhamana na zawadi ya Mwenyezi Mungu kwa Chama Cha Mapinduzi. Na Mwenyezi Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi. Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine...
Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...

Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-
Mama samahani sio nakutakia mabaya, watu wazuri hawafi. Ndo maana Kinana bado yupo. Ndo maana Jakaya bado yupo anadunda!
Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...

Cha ajabu, hata Mzee Mkapa amefariki... lakini kutokana na paranoia, wao wanaona kasemwa JPM...

Msikilie mwenyewe hapa...

Poa ngoja Basi Uhuru upo na demokrasia. Subiria watumikie wananchi wame relax. Vipi umeme ,.maji unapata ulipo lakini. Umesaini software ya tokea India ya 69bn kufuatilia umeme kukatika. Umecheki behewa. Sheria inakuja inatakiwa uwe na Taifa gesi ndani yako lazima. Bwawa la nyerere tunalizungusha kwanza ili tupate umeme wa gesi kwanza. Subiria tutor ardhi ya bagamoyo 100yrs kwanza. Mapato ya bandari yanaenda kwa wachina sema huku nje unafumbwa. Miktaba ya madini inaletwa uzito mdogo ili tule kwa urefu wa kamba upo lakini

Kama umeme bado ni shida na maji ni shida Magufuli alisaidia Nini?
 
Man,

Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!

Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM

Source ilikuwa ni hotuba ya Mzee Makamba, kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-

Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...

Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-

Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...

Msikilie mwenyewe hapa...

Thanks for explaining better
 
Mtazamo ni mshika begi wa Dr Slaa , sasa baada ya Magufuli kuzikwa bakhishishi zimeisha , ndio maana unaona ngonjera hizi , yuko na mwenzake Mwanakijiji
 
Back
Top Bottom