Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Mtu akisoma comments za huu uzi kuanzia mwanzo atagundua kuwa ni wazi watu ni wataalamu wa kutengeneza uongo usio na msingi kabisa na kila jambo wana ligeuza ni mtaji wa kisiasa.

Yani mtu anasema wazi kuwa serikali ndio imechoma mali za wamachinga hili waondoke pale lakini anashindwa kujiuliza kwanini wamachinga wa makoroboi-Mwanza hawakuchomewa hili waondoke?
Ni serikali gani yenye akili za kijinga namna hii kama wengi mnavyo jaribu kutuaminisha?

Hakuna serikali inayoweza kutumia njia hii wakati inajua fika mzigo wa ajira utarudi kwake, hivi kama ni swala la kuhama wangeshindwa kuwatoa kama walivyo watoa wengine hapa Dar na Mwanza?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hivi kwani serikali ingewapa siku mbili za kuondoka pale wangeweza kukataa kama serikali haiwataki pale kwa kipindi hiki?

Kila mtu anajua fika hawa wamachinga ingefika kipindi wangeondoka pale lakini serikali haiwezi kuchoma mabanda yao hata siku moja.

Sasa nimenza kufikiri upya kuna uwezekano watu hapa wasio hitakia mema serikali wakachoma ili kuibebesha lawama halafu kwao ni mtaji wa kisiasa na hili tukio limekuja baada ya kuondolewa wamachinga Makoboi mwanza.

Inasikitisha sana watu wamepoteza mali zao lakini kusema serikali ndio wamehusika
ni ujinga wa hali ya juu:

Tunajua kupitia hili tukio wale wataalam wa siasa za matukio watapata pa kutoea lakini inabidi tujiulize kwanini kusiwepo na uwezekano wa jambo hili kutekelezwa na watu baki wakijua lawama zitakwenda kwa serikali na kwao ni mtaji?.

Siasa za majitaka za tanzania
 
Naona kuna watu kila Jambo baya wanalihusisha na SIASA..

Lengo ni kupandikiza chuki kwa WANAICHI dhidi ya serikali.... Ili nchi ishindwe kutawalika ..

.
 
Wadanganye ambao hawajasoma. Nimeanza chuo wakati wewe hata chekechea ulikuwa hujui kama ipo aka ulikuwa haujazaliwa.

Hapo inaongelewa "lack" of shelter. Hakiongelewi majanga ya moto. Au huelewi maana ya "lack of shelter"? Punguani wahed.

Ila kumbuka haya yote yana mwisho na mwisho wake umekaribia. Watanzania hawatachoka maana wanaamini hata almasi kabla ya kuwa almasi lazima ipitie kwenye tanuru la moto mkali. Tutaendela kumuomba Mungu na hatutachoka wala kukata tamaa kumuomba maana mkombozi yuko karibu kuwakomboa kwa wanyonyaji na wauaji kwama nyie.
 
Naona kuna watu kila Jambo baya wanalihusisha na SIASA..

Lengo ni kupandikiza chuki kwa WANAICHI dhidi ya serikali.... Ili nchi ishindwe kutawalika ..

.

lumumba wazima mkuu,naona mnamzidi sasa shetani
 
Nikupe ilm we FATAANI wa kizaramo, Ufipa ndipo vuguvugu la kumkomboa masikini wa nchi hii linakoshamiri, vuguvugu limeanzia ufipa, limeshamiri ufipa na litamalizikia ufipa. Hakuna chama kitakachoweza kuzindua akili, ufahamu, uwezo wa kuchambua mambo, uzalendo, uchungu na nchi hii kama Chadema. Mifano ipo dhahiri unaijuwa. Kama umeisahau niambie nikupe ilm mujaarab hapa.

Unapoijadili chadema uache kabisa kuwa na akili za kifataani za ki ccm. Hakikisha uko na free mind. Ikiwezekana ule kwanza ushibe, sio unakuja kuhororoja hapa na njaa zako unaishia kuabdika makamasi tu.

Mwenzio Pasco anaijadili chadema kibubusa bubusa kama wewe lakini kwa adabu. Chota hekima kidogo za Pasco hizo hizo za kibubusa angalau usiwe kituko. Kama Pasco humpendi kwa sababu ya dini yake basi tulia usimwage uharo humu. Shwain!

kitakuwakimeelewa hicho kibibi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi umekuja lini mjini? Nakushangaa unaposema Machinga Complex haikujengwa kwa ajili ya wauza mitumba.
Kwa taarifa yako na ukoo wako wote, Machinga Complex ilijengwa kwa ajili ya wauza mitumba ambao awali walitimuliwa mtaa wa Congo na kuamuliwa wakae kwa muda pale kwenye soko la Karume.
Uamuzi wa kupewa soko la muda ulikuja baada ya vurugu kubwa kutokea kati ya Wamachinga wa Congo na mgambo wa jiji na kupelekea mgambo watatu kuuawa na mtaa Huo kutopitika kwa saa 24.
Kwa kukusaidia zaidi, pale ambako soko la Karume lilipo, palikuwa na bustani ya maua na miti ya vivuli kwa ajili ya mapumziko kama ilivyo Mnazi Mmoja au Magomeni hospitali, hivyo ikaamuliwa na jiji kubadilishwa matumizi yake kwa muda ili Wamachinga wa Mtaa wa Congo wafanyie biashara hadi soko lao litakapojengwa.
Wakati Machinga Complex inajengwa ilichukua namba ya idadi ya wamiliki wa biashara walio kwenye soko la muda la Karume, lakini baada ya ujenzi kukamilika zikaanza sarakasi Za MaCCM.
Zungu na wenzake wakaanza kubadili mfumo wa ugawaji kwa sehemu iliyokuwa kwa ajili ya mfanyabiashara mmoja wakapanga wawekwe wanne kwa mtindo wa kama matundu ya wauza kuku, baada ya MaCCM kuchomeka majina yao katika list ya Wamachinga na kufanya idadi iongezeke.
Mwisho wa simu Wamachinga wakaligomea soko, ndo ikawa hivyo mpaka leo.
Ndio ilikuwa hivyo wewe bibi. Shika maneno ya Mtemvu aliposema usiizungumzie Dar es Salaam kama huijui, tuulize wenyeji.
Ova

Wewe wacha udakuzi wako hapa. Hizo zilikuwa ni kwa ajili ya wale wamachinga wanaotembeza vitu mikononi. Wewe muuza mitumba nini? pole kwa kuunguliwa na zigo lako.

Hata kama, kwanini sasa wasiende chinga complex wabaki hapo Karume? kiranga komo!

Duh! wewe wakuja leo unantambia mimi kuwa Dar. kwenu? makubwa haya.
 
Wewe wacha udakuzi wako hapa. Hizo zilikuwa ni kwa ajili ya wale wamachinga wanaotembeza vitu mikononi. Wewe muuza mitumba nini? pole kwa kuunguliwa na zigo lako.

Hata kama, kwanini sasa wasiende chinga complex wabaki hapo Karume? kiranga komo!

Duh! wewe wakuja leo unantambia mimi kuwa Dar. kwenu? makubwa haya.

sasa na we bibi'angu kisa gani kubishana na typists wakati hakuna msaada tunaoweza toa plae ilala??
 
Tunajua hizo ni hujuma, hilo soko limechomwa kwa makusudi, serikali inahusika katika hilo tukio. ni kitendo cha kinyama sana, kwani kuna baadhi ya wafanya biashara wamekopa hela kwenye mabank!!! saccos na hata kwa wakopeshaji binafsi, leo unaenda
kuwachomea moto unategemea nini? CCM ilaaniwe
 
Wewe wacha udakuzi wako hapa. Hizo zilikuwa ni kwa ajili ya wale wamachinga wanaotembeza vitu mikononi. Wewe muuza mitumba nini? pole kwa kuunguliwa na zigo lako.

Hata kama, kwanini sasa wasiende chinga complex wabaki hapo Karume? kiranga komo!

Duh! wewe wakuja leo unantambia mimi kuwa Dar. kwenu? makubwa haya.

Kwa hii post kumbe hamnazo hata chembe ya huruma huna duu hapa kweli kuna watu na viatu
 
hujuma tu.wametafta namna ya kuwahamisha wameshindwa wakalitia kiberiti.magamba bana

Kidumu chama cha mapinduzi kauli mbiu tutatengeneza ajira elfu kumi kwa vijana naanza na hii kuokota chupa za maji zilikwisha tumika endeleeaa.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom