Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Inasikitisha sana, mali zilizoungua ni za wanyonge, sijui watapata fidia namna gani.....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
maccm yanachojua baada ya hapo anawekwa mwekezaji c lengo lao limetimia.
 
duuuuuh!!! hii ndo TZ, kama ina laana vile, karume ipo katikati ya jiji ambapo ndani ya dakika tano fire wanaweza fika na kuzima moto. sasa wenyewe wakipigiwa sijui ndo huwa wanaanza tafuta maji au vip, bora magari yao yakabidhiwe city yawe ya kubebea taka tu, poleni sana wafanya biashara na siye wateja kwa ujumla
 
walianzia mwanza asubuhi naona baada ya wenje kuhoji wamechange style akili za akina lukuvi akuna tofauti na maiti.
 
duuuuuh!!! hii ndo TZ, kama ina laana vile, karume ipo katikati ya jiji ambapo ndani ya dakika tano fire wanaweza fika na kuzima moto. sasa wenyewe wakipigiwa sijui ndo huwa wanaanza tafuta maji au vip, bora magari yao yakabidhiwe city yawe ya kubebea taka tu, poleni sana wafanya biashara na siye wateja kwa ujumla

moto wa kupangwa faya ya nini!?
 
Daa!! Vijana wengi wamepata pigo sana...poleni sana.
 
Poleni sana ndugu zangu wamachinga,mambo yote muachieni Mungu.
ILA nashangaa kwenye huu uzi siwaoni wazee wa lumumba kutoa pole,MSALANI,Ritz,Mwanadiwani,Iferwoo,Lizaboni...nk
 
Back
Top Bottom