Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Kwa muda mrefu Manispaa ya ILALA ilikuwa inataka kuhamisha SOKO la KARUME lkn ilkuwa inatafuta Style yakuwaondoa hao wafanyaBiashara ndogondogo,,!!! Sasa kwakuwa SOKO limeungua hao ndugu Wactegemee kurudi tena hapo Poleni sana waNDUGU,,,!!
 
Mungu wangu!dah!poleni wajasiriamali wote wa Karume na wateja wao,nikiwemo,dah!ntafanyia wapi shopping ya madogo dah!ntapata wapi madaluga ya kutesea ndondo za kitaa huku jamani?!

acha undezi kuna ubungo jioni,tandika,manzese na hata pale karume majengo mapya.....ova
 
Kumbe yule mwekezaji ameshapatikana.?Iringa walisema maharagwe na hapo wanasema hivyohivyo. Jiulize unaipendea nini ccm?
 
Poleni sana watanzania wezangu mliowekeza mitaji yenu ya biashara katika soko hilo. Najua wengi mtaathirika sana na tukio hilo kwakuwa biashara hizo ndo zilikuwa kila kitu katika maisha ya kila siku. Na wengine bado wanarejesha mikopo waliochokuwa kwenye taasisi za fedha kwaajili ya kuendeleza biashara zao. Jipeni moyo wapendwa Mungu yupo
 
Kumbe hii serikali dhalimu bado tu inatumia hii mbinu ya kuchoma moto masoko ili kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo....? si mngewaambia tu waondoe mali zao mnataka kufanya maboresho....???......poor CCM

thibitisha.....
 
Poleni,ila nadhani ni moja ya strateji za safisha jiji. Palikua kama Kibera slums ya kule Kenya!. Hamieni soko jipya la Machinga complex.

unathink sio?!? Unazani upo sahihi sana kwa hapo....mbona co tandika iwe safisha jiji na iwe karume...tumia akili msilete chuki zisizokuwepo
 
daah hatare sana yani,kwa kweli fire ktk nchi hii hawana msaada hta kidogo.
 
ukiambiwa una roho mbaya kama maccm maana yake una roho mbaya zaidi ya shetani!!
 
Back
Top Bottom