Mkuu hapo Sijakuelewa una akili timamu au una hamu tu na matusi k.enge wewe..!! Chadema wanaingiaje hapo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sipati picha kova atauzaje sura kwenye media kupitia janga hili.nasubiri kwa hamu taarifa ya saa mbili usiku.
easy mkuu, jamaa anatania tuMkuu hapo Sijakuelewa una akili timamu au una hamu tu na matusi k.enge wewe..!! Chadema wanaingiaje hapo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kweli ng'ombe wa masikini hazai.....
Jitihada zote zinageuka majivu!
Mkuu sijamaanisha hivyo ulivyoelewa wewe.Ulikuwa unafuata nini huko kama price tag yako ni kutogusana watu? Wenye Pesa zao huwa wanafunga mitaa na maduka ili afanye shopping! Unajifanya Victoria Beckham unanunu chup za mitumba...!
Kweli ng'ombe wa masikini hazai.....
Jitihada zote zinageuka majivu!