Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
mKUU LEO UTAKESHA.MAANA TUTAMKOMALIA MANGI MWENZIO HADI ASUBUHI.NAJUA LAZIMA UWAJIBIKE KULIPA FADHILA ZA HELKOPTA.
Mkuu unajuwa kuna watu humu wafata mkumbo tu...they do not reason...wakiambiwa tu fulani mwizi na wao wanaingia hivyo hivyo...hawataki kupima ukweli wa mambo kuwa MAKELELE YOTE HAYO NI WATU WALIOKWISHA WAIBIA NA KIWADANGANYA WATU siku zote na tofauti za sasa ni kama za MAJIZI YALIYOKOSANA KATIKA KUGAWANA MALI YA WIZI sasa yanahujumiana tu.CCM imechoka jamani hakuna mzima mule...siyo aondoke mmoja tu chama cha Mapinduzi chote kiwapishe watanzania wapumuwe na mikorogano yao.wewe ndo unaona hivyo but kusema Malecela kapokea 200m za Jeatu ndo kosa au?au mlitaka aseme nini?mambo ya hovyo kabisa haya?mwache aseme kama ambavy akili yake imemtuma kwa kuwa kwa kufabya hivyo sio kosa?m,bona hamumshangai mengi anapoitisha PC na kusema yeye ni mwana CCM toka 1977! nani kamuuliza na anafanya hivyo kuweka rekodi sawa za nani na kwa faida ya nani?yaani ni upupu tupu.Sofia ameongea hivyo ndani uya chama chake na huo ndio utaratibu wao ,sasa nyie mnawashwa nini?kama na nyinyi ni CCM si ndo utaratibu wenu huo.
Masanja mwana wane, you couldnt have said it better,got it on the nail!!GT, heshima mbele,
Usitake kumfanya mama Simba AONEKANE KAMA POLITICAL HEAVY WEIGHT IN TANZANIA. SHE IS NOT. Her impact is just negligible to say the least. Huyu mama among others, wameingia kwenye siasa kwa kubebwa na wazee wa chama. Hana ubavu wa kushindana na mzee Mengi. Atleast on this I can bet my five cents.
Never underestimate mzee Mengi. Kwa vile havai kofia ya kijani au shati la njano..haina maana kwamba system haijui vyema.
Kama umeisoma hii PC ni dhahiri kwamba Mzee Mengi ameiandika/kuitoa kwa minajili kwamba imuumize TO THE MAXIMUM mhusika na katoa majina..hakujiumauma. Maana kumuita mtu ni mjinga tena waziri inakuonyesha how mzee alivyo na confidence ya anachokifanya.
I dont know much kuhusu huyu mzee..ila what I see ni kwamba watu kama akina Sofia Simba wanapewa madaraka wanajisahau. She thinks she is on top of the world. Unadiriki kusema kwamba CCM hakuna msafi..as if Tanzania ni private company..we have to play to the tunes za wana CCM na viongozi wake? She is simply wrong! She should just know. She might be in Office, but somebody else is in power.
Lastly, Huyu mama, nadhani hatumii uwezo wake wa kufikiri vyema.....huwezi kwenda kuongea mbele ya kadamnasi kwamba fulani siyo member wa Chama bila kuwa na facts zako fresh.
Ohh..nearly forgot, even one of her Predecesor Masilingi..picked up a fight with mzee Mengi..thinking kwamba yeye ndo yeye kwenye nchi hi..where is he now? Moral of the story..ukiwa na kibarua cha serikali..tread carefully. Hujui boss wako na yeye alisaidiwa na nani kuwa alipo...
Ee bo..wewe unataka kuwa Mkatoliki kuliko Papa mwenyewe aliyeachiwa kanisa na Petro?-Mama Simba should no better. Na ni kwa sababu ya vinchi masikini kama sisi..but who gives a damn to the so called waziri?
I will be happy to see her going to court asking for damages!
Kuna tetesi, JK kwenye baraza jipya la mawaziri huenda Sophia Simba akachukua nafasi ya Pinda kwenye Uwaziri Mkuu!
Nadhani muda si mrefu kibarua cha huyu mama kitaota!
Kuna watu hapa US wanabisha kwamba Balali amekufa. Wanasema waliitwa kwenye ibada Kanisani,lakini casket haikufunguliwa,na hawakualikwa kwenye mazishi.
Lakini labda,hii stiry,kwamba Balai hajakufa ni far fetched.
Lakini mke wa Mgonja yupo hapa Long Beach,Califonia,amenunua gari la kifahari,anaishi vizuri sana,labda vizri kupita kiasi.
Nasikia,sijamuona lakini,kwa sababu mimi nipo hapa hapa.Long Beach,California.
Tafuta kwenye google.... kuna zaidi ya lugha sabini mle ikimewo Kiswahili. At the end of day Mwanakijiji akapimwe akili Mirembe ama Kidongo chekundu na huyo Simba
I doubt! The kind of audacity and confidence this mama is displaying clearly shows that there is a heavy backing behind her. Haiwezekani akamtukana Malecela kirahisi, kuna kitu kizito zaidi ya tunachokiona.
Wana ndugu nimesoma gazeti la tanzania daima leo nimeshtuka sana baada ya kupaata mfadhaiko yale yaliokuwa ndani mwake pale mama sophia simba waziri wetu tunaemtegemea kwenye uongozi bora anaposema hakuna asie fisadi kwenye chama cha majambazi...hakika najuta kupigiia kura shishiem akiamungu...bado nahisi nimesoma thread nyingi zimeshamwasha huyu mama jamani naomba tukae chini tuangalie na huyu rais wetu anaeteua hawa watu kisa tu ama amesoma nae ama alimpa kitu fulani ujanani...tufungue mawazo ya huyu rais kwanza kabla ya kummaliza kwa huyu bibie...nimeamini kweli yawezekana ana maradhi yanamsumbua
JK asipomuondoa Sofia Simba kutokana na kashfa hii atakuwa amejishushia hadhi kwa kiasi kikubwa sana. This is incredible!
KWELI MAGEZI(has no status)UMENENA JAPO UMEFIKA MBALI SANA KWA DEVALUATION YA MH WAZIRI SIMBA,I have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.
I even wonder how the president thinks?