Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,336
- Thread starter
- #401
well... inabidi tuhoji pia ni kina nani washauri wa Mengi!
well... inabidi tuhoji pia ni kina nani washauri wa Mengi!
Tunamuonea bure Sophia Simba; hayo maneno aliyoyasema huko kwenye kamati ya Mwinyi sio maneno yake bali ametumwa na Jakaya! She is just a mouthpiece!!Na ndio maana hata msemeje hawezi kumuondoa kwenye Cabinet. Hiyo ndio style ya utawala wa kikwele.
mkuu....maneno haya yalitamkwa na peter kayanza mizengo pinda? Ilikuwa nayeye akaamua kuita kijiko kijiko? Kama ni kweli, i like it!
Hahaha haya maneno kwa Sophia Simba ni msumari!
Huyu Mengi anapenda sana publicity, kwa kuwa sasa hivi focus ipo Dodoma anaona kama kasahauliwa anakumbushia na mimi nipo.
Habari sio kuthibitisha yeye CCM ingekuwa habari kama yeye angetangaza kuacha kuchochea makundi ndani ya CCM na "makamanda" wake akina Sitta, Mwakyembe et al.
kama nilivyosema hapo awali
Mengi kaingia mwenyewe kwenye huo mtego ...na narudia, he is not as smart as we think he is
ni reactionary na kwa kuisoma tuu hiyo taarifa inaonekana kuwa washauri wake wanamwogopa...na sidhani kama alikutana na mawakili wake
why pick a fight na Sofia in the first place?
sasa Mengi keshalikoroga kilichobaki alinywe
kuhusu PINDA
kuna mtu kasema ni serious..yes ni serious lakini hamtishi mtu kwa sababu bado yuko stuck in 1970's
ukitaka kujua kama jamaa ni useless, jiulize iweje leo hii 2009 bado ana politics of envy? one minute hataki wabunge wavae suti next minute anaagiziwa suti 70 Paris na ana anazivaa
bogus kabisa, na zaidi ukitaka kujua u bogus wake tazama website ya ofisi yake, haina policy yoyote ile zaidi ya propaganda utafikiri bado tuko kwenye siasa za ujamaa
eti mawaziri na wabunge watembelee vibajaji!
kama ndio hivyo kwanza angehama kwenye lile hekali lililotumia ma bilioni ya walalahoi na ahamie nyumbani kwake
nah!
the man is just idiot period
na inathibitisha kuwa the so called WAPIGANAJI nao ni MA ****** kama yeye
one minute wanakuambia kuwa CCM yote imeoza
next minute Mengi anawaambia kuwa yeye pia ni mwanachama wa CCM
sasa cha kujiuliza je ile mbiu ya wapiganaji kuwa CCM wote wameoza bado ipo?
GT wakati mwingine unaongea points.. at last i should admit 🙂Viongozi wa Tanzania wengi ni 50's school graduates.. na hawataki maendeleo ya kweli, ni maneno tu. Mengi had my respects but he has take it away..Nafikiri huyu jamaa he is not as smart as he really believe in himself and if he really wants people to keep supporting him he should start to learn to shut up and be politically neutral. Na pia sasa kama yeye ni CCM je nikisema kelele zake na RA ni za chama na Business nitakuwa nimekosea?
yes na wapo wengi kama wewe ambao mnamshangilia mwakyembe na ujambazi wake wa kuchukua posho mara mbili mbili,na kumuona si mkosaji pale alipoongoza kamati ya kuchunguza Richmond wakati kumbe na yeye ana kampuni yake anataka ianze kuzalisha umeme....