SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

Nilichogundua kitu kimoja ni kuwa simu zinazotoka sms hizi ukipiga unapata error messages. Mojawapo ya simu hizo ni hii: 0757 079316. Na wanaofanya hivyo wamegundua kuwa Jeshi letu na UwT hawana uwezo wa kutrace simu za wireless na hivyo kuacha simu hizo kutumika kama vifaa vya matishio kwa watu wengine.

Nani ka kwambia hawana vifaa vya kufanya tracing?

BitchStoleMyFish!-713970.JPG

au unahisi tuu?
 
Sasa huyo mtu ana mikono mingapi ya kushika watu na atawashika wangapi hadi awamalize wote? Ubwebwende huo! Mikwara mingine inabaki kuwa mikwara tu!
 
Kuna sms mbili ambazo nimezipata tangu juzi. Moja inamhusu kijana Julius Mtatiro aliyekuwa mmoja wa viongozi wa TAHLISO. Hiyo sitaizungumzia sana kwa sasa lakini ni dokezo kwa watawala wajue tunajua wanachopanga.

Lakini ya pili ndio imenishtua sana kwani nimeipata usiku wa manane hapa kijijini. Mara nyingi ninapopata hizi za usiku wa manane basi najua ni jambo zito na nyeti. Nilikoipata na nilivyozunguka kuona kama watu wengine wameipata nimeshangaa jinsi ilivyosambaa kwa kasi.

Imekuja kama ile sms iliyotangaza kifo cha Zitto akiwa Mombasa wakati yeye mwenyewe akiwa hai na wiki moja baadaye tukasikia kifo cha Wangwe. Huwa sishei messages hizi hadharani lakini hii nimeombwa na watu ambao majina yao si mageni kabisa masikioni mwenu. Hivyo naitoa kama ilivyo nikiacha muamue kama kuna mtu mwingine kaipokea, kuna ukweli, ni uzushi wa kupuuzia, ni njama za kuchafuana au ni jambo ambalo la kupuuzia.

Nilichogundua kitu kimoja ni kuwa simu zinazotoka sms hizi ukipiga unapata error messages. Mojawapo ya simu hizo ni hii: 0757 079316. Na wanaofanya hivyo wamegundua kuwa Jeshi letu na UwT hawana uwezo wa kutrace simu za wireless na hivyo kuacha simu hizo kutumika kama vifaa vya matishio kwa watu wengine.

Message yenyewe inasema hivi:
Kingunge kisha kufa bado kuzikwa tu. Wazee wa mikoa ya Mbeya, Rukwa na Ruvuma wanamlinda Mwakyembe kwa udi na uvumba. Huo mpango wao wa kumwua Mwakyembe utawarudia wenyewe.

S.Sitta usiwe na hofu wala shaka maana unafanya kazi yako sawasawa si kama enzi za Msekwa (Mnafiki). Hakuna wa kukufanyia jambo baya, wananchi wote wapenda maendeleo katika Tanzania tuko pamoja na wewe.
Waliweza kumwua Balali kwa sumu lakini si wewe.

Mungu awalinde na mfanye kazi yake.
 
..wanaweza.

..kila simu ina ID yake, hivyo wakitaka hawatatumia namba ya kawaida, bali ID ya simu.

..kumbuka kuwa, wahalifu wote hufanya makosa na wengine hawako-smart kihivyo. so, atafanya kosa dogo litakalomnasa. at times, it needs sometime and maybe a lot of it!

..hamna kinachoshindikana, bali nia ndio hukosekana katika mambo kama haya.

Ahsante...
Kwa kifupi ata ukibadilisha sim cards kila dakika IMEI yako inabaki ile ile na always watakulocate.
 
Ahsante...
Kwa kifupi ata ukibadilisha sim cards kila dakika IMEI yako inabaki ile ile na always watakulocate.

bila kusahau kuwa hata kama kazima simu yake wanaweza kuiwasha remotely na wakapata kila kitu includi voice msgs zake

nashangaa anasema eti hakuna anayeweza kujua ID yake

uzuri ni kuwa analeta changamoto ndio maana mpaka sasa hivi anapokea hizo txt msgs otherwise wangeshampelekea msg zamani gani
 
Mwaka huu Rostam atasingiziwa sana hapa TZ.

Sasa sio Muhindi ni MUUAJI!, jamani mmpeni a break!

Roho za chuki utaziona tu
 
bila kusahau kuwa hata kama kazima simu yake wanaweza kuiwasha remotely na wakapata kila kitu includi voice msgs zake

nashangaa anasema eti hakuna anayeweza kujua ID yake

uzuri ni kuwa analeta changamoto ndio maana mpaka sasa hivi anapokea hizo txt msgs otherwise wangeshampelekea msg zamani gani

By the way wakati wa Olympics raia wengi wa nchi za magharibi waliambiwa wakizima simu zao watoe batteries maana wachina walikuwa wanajaribu kuziwasha remotely na kuactivate microphone.

Again, swali ni serikali yetu iko willing kumtafuta huyo mtu?
 
Sumu hiyo (allegedly) imeingizwa nchini
majuzi na Rostam kutoka Dubai. Muuaji anavaa glove ya
sumu na kumsalimia mlengwa kwa kumgusa.

Imenikumbusha story ya yule Agent wa DS aliyeuwauwa pale Westiminster kwa mwamvuli.

Yah...Ncha ya mwavuli iliyokuwa na sumu..Jamaa akamtoboa na mwavuli na kujifanya ilikuwa bahati mbaya...Ntolee...
 
Wakuu kama nilivyoahidi, hii ni E-mail iliyoandikwa na kambi ya Lowassa, ikiwa ni hasira yao baada ya mipango yao ya siri kufahamika na ombi lao kukataliwa, (kuna niliyoyapunguza kwa sababu za kisheria):-

> From: [mailto😡gmail.com]> Sent: Saturday, August 30, 2008 5:29 PM> To: mwananchipapers@mwananchi.co.tz;

MD> Subject: LOWASA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE> > > >

1. Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania. Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon Kama kuna njama za kumfitini huyu bwana basi nadhani jk yuko mbele yetu zaidi na ninaona wazi mkuu ametizama mbali na sasa anaijenga himaya yake kwani ukiisoma ripoti ya utekelezaji pinda na timu yake wamemaliza kazi ya kumsafisha mheshimiwa lowasa, jk needs him ktk harakati zake za kisiasa na sasa anampatia mtaalam lowasa chance ya kujiosha nje ya mipaka maana yeye ali resign ku rescue serikali kama ilivyosemwa huko awali yeye,

2. mh.rais, baadhi ya wana ccm, m/kiti wa kamati ile dr.mwakyembe na sasa pinda amemaliza kazi rasmi.> sisi tuuchukulie msimamo wa sirikali yetu vile tutakavyoona yafaa kwa umma wetu lakini ni vema tuamini yale wakuu wetu wanayoyabainisha hususani baada ya hitilifu.> >

3. Binafsi nasema ruksa mh. Kikwete kumpigia pande hili mtaalam edo maana baada ya majeraha yale mazito anapaswa kuangaliwa kama muhanga nambari wani kwa chama chake na serikali ya awamu ya nne, jk tupatie mpiganaji huyu ndani ya baraza, tumuone akitetea hoja za nje kwa madaha na ujasiri wa simba aliyejeruhiwa.>

4. > Ni vibaya sana kutetea mafisadi! Lowasa ni moja ya mafisadi waliokwisha julikana na kuwekwa wazi hata hivyo ukweli unabaki palepale kwamba Kikwete hawezi kufanya kazi bila Lowasa. Toka Lowasa ajiuzuru kasi ya utendaji wa Serikali umepungua sana, Pinda hajaweza kabisa kutosheleza nafasi ya PM. Pinda amekuwa mwongeaji kama Kikwete tofauti na Lowasa ambaye alikuwa mtendaji.

5. My opinion ni kumwondoa Kikwete kwasababu hawezi kazi na siyo kumwingiza Lowasa Serikalini, tutachekesha sana.> > > -->

"If you won't take the personal responsibility to help raise the level of debate on PwaniForums, you do not have much of a case for expecting anyone else to do so on your behalf."
 
By the way wakati wa Olympics raia wengi wa nchi za magharibi waliambiwa wakizima simu zao watoe batteries maana wachina walikuwa wanajaribu kuziwasha remotely na kuactivate microphone.

Again, swali ni serikali yetu iko willing kumtafuta huyo mtu?

mkamap, hana haja ya kwenda mbali kote huko na mambo yake ya energy and quantum mechanics; asome tu kwenye link ifuatayo kuhusiana na iPhone: http://www.techzonez.com/comments.php?shownews=24314
 
Kubenea naye ametumiwa ujumbe ukisema: " Kubenea: Umesikia movie inayoitwa Kubenea? usiku mwema filamu hiyo inakuja soon"
 
Kwani glove lazima iwe na rangi ya njano au blue ?

MADELA WA-MADILU umenena, glove zinazosungumzwa hapa si zile kama za kuendeshea pikipiki au za hospitali bali ni glove za kumfanya mhusika asipate madhara na anachokishika na haziwezi kuonekana kwa macho ya kawaida na si rahisi hata kuhisi unapogusana na mtu aliyevaa hizo glove.

Kubenea sasa amejanjaruka, zamani alitumiwa sms za vitisho na mara ya kwanza aliambiwa kuhusu gari na baadaye likaunguzwa kwelo japo hayakuwa madhara makubwa, akakoswa koswa kugongwa na gari (aligongwa kidogo) baada ya kutumiwa sms ya kujulishwa, ikaja sms ya kuvamiwa akavamiwa kweli, akapata ujumbe mwingine kuhusu polisi akavamiwa kweli.... Na mara zote akiwaambia watu, wanasema, "wewe acha woga, mtu anayetaka kufanya kweli hatumi sms".

Lengo hasa ni kutisha ili watu wasiwafuate fuate na usipotishika wanakujaribu ukiendelea na jeuri sasa wanafanya kweli.

Kuna mbinu za kukabiliana na vitisho hivyo, na kwa wengine tuliovizoea kwa zaidi ya miaka saba sasa, tumekua tukipambana navyo na hata hapa nilipo napambana na ndio maana naandika ujumbe huu ikiwa ni saa 10.10 Alfajiri hapa nyumbani Tanzania nilipo kwa sasa
 
Kuna sms mbili ambazo nimezipata tangu juzi. Moja inamhusu kijana Julius Mtatiro aliyekuwa mmoja wa viongozi wa TAHLISO. Hiyo sitaizungumzia sana kwa sasa lakini ni dokezo kwa watawala wajue tunajua wanachopanga.

Lakini ya pili ndio imenishtua sana kwani nimeipata usiku wa manane hapa kijijini. Mara nyingi ninapopata hizi za usiku wa manane basi najua ni jambo zito na nyeti. Nilikoipata na nilivyozunguka kuona kama watu wengine wameipata nimeshangaa jinsi ilivyosambaa kwa kasi.

Imekuja kama ile sms iliyotangaza kifo cha Zitto akiwa Mombasa wakati yeye mwenyewe akiwa hai na wiki moja baadaye tukasikia kifo cha Wangwe. Huwa sishei messages hizi hadharani lakini hii nimeombwa na watu ambao majina yao si mageni kabisa masikioni mwenu. Hivyo naitoa kama ilivyo nikiacha muamue kama kuna mtu mwingine kaipokea, kuna ukweli, ni uzushi wa kupuuzia, ni njama za kuchafuana au ni jambo ambalo la kupuuzia.

Nilichogundua kitu kimoja ni kuwa simu zinazotoka sms hizi ukipiga unapata error messages. Mojawapo ya simu hizo ni hii: 0757 079316. Na wanaofanya hivyo wamegundua kuwa Jeshi letu na UwT hawana uwezo wa kutrace simu za wireless na hivyo kuacha simu hizo kutumika kama vifaa vya matishio kwa watu wengine.

Message yenyewe inasema hivi:

Huhitaji mtaalamu wa ukachero kutoka MArekani ama Uingereza kujua kwamba kuna HATARI inakuja Tanzania
 
MADELA WA-MADILU umenena, glove zinazosungumzwa hapa si zile kama za kuendeshea pikipiki au za hospitali bali ni glove za kumfanya mhusika asipate madhara na anachokishika na haziwezi kuonekana kwa macho ya kawaida na si rahisi hata kuhisi unapogusana na mtu aliyevaa hizo glove.

Kubenea sasa amejanjaruka, zamani alitumiwa sms za vitisho na mara ya kwanza aliambiwa kuhusu gari na baadaye likaunguzwa kwelo japo hayakuwa madhara makubwa, akakoswa koswa kugongwa na gari (aligongwa kidogo) baada ya kutumiwa sms ya kujulishwa, ikaja sms ya kuvamiwa akavamiwa kweli, akapata ujumbe mwingine kuhusu polisi akavamiwa kweli.... Na mara zote akiwaambia watu, wanasema, "wewe acha woga, mtu anayetaka kufanya kweli hatumi sms".

Lengo hasa ni kutisha ili watu wasiwafuate fuate na usipotishika wanakujaribu ukiendelea na jeuri sasa wanafanya kweli.

Kuna mbinu za kukabiliana na vitisho hivyo, na kwa wengine tuliovizoea kwa zaidi ya miaka saba sasa, tumekua tukipambana navyo na hata hapa nilipo napambana na ndio maana naandika ujumbe huu ikiwa ni saa 10.10 Alfajiri hapa nyumbani Tanzania nilipo kwa sasa

Haya mambo mwambieni ndugu yetu Masatu kwa sababu yeye anadhani eti ni udaku. Yapo, yapo, yapo!
 
Haya mambo mwambieni ndugu yetu Masatu kwa sababu yeye anadhani eti ni udaku. Yapo, yapo, yapo!

Udaku, wakati iliwekwa hapa kuhusu, Amina Chifupa, Ballali na kadhalika na yametokea.......!!!!!!!!
 
Hii ya Mwakyembe na Sitta ni decoy tu; anayetafutwa mwenyewe ni ndani humo humo CCM na wala hamtaweza kuhisi ni yeye; kitu kama shinikizo, natural causes or something of sort. Ikitokea msishangae. Tena atakuwa na sifa fulani za kuitwa fisadi hivyo watu hawatasikitika sana. Ukiliwa nawe kula, matokeo yake ni kulana.
 
Lakini ya pili ndio imenishtua sana kwani nimeipata usiku wa manane hapa kijijini. Mara nyingi ninapopata hizi za usiku wa manane basi najua ni jambo zito na nyeti. Nilikoipata na nilivyozunguka kuona kama watu wengine wameipata nimeshangaa jinsi ilivyosambaa kwa kasi:

Oh, c'mon guys! This is just a prank!
 
Back
Top Bottom