Mkuu MMJ,
Kwanza heshima mbele na hii nyeti, hatimaye nimeithibitisha kuwa ni kweli,
1. Kama kawaida hawa wakuu wamekuwa wakikutana kwa siri kupanga mikakati, na moja wapo ilikuwa ni kutafuta njia ya kuwaondoa Sitta, Mwakyembe, na Mama Kilango.
2. Kwa bahati nzuri au mbaya, hawakujua kua kila siku ya Mungu wako chini ya scrutiny kali sana, tena masaa 24, maana sasa hawaaminiki tena na kila kiongozi wajuu, mpaka wa chini wasiokuwemo kwenye kundi lao.
3. Habari ikapatikana kwa wahusika, Kubenea akamwaga wazi wakashituka! Kushituka wakamuita mkulu wa manjago na kutaka mlinzi wa mmmoja wao aondolewe kwa sababu ndiye anayetoa info, mkulu akawajibu kuwa atashughulikia, to their shock ni mlinzi wanayempenda ndiye akatolewa yule wasiyemtaka akabaki, it is so bad kwamba sasa hata wakienda haja kubwa au ndogo zinahesabiwa na kuripotiwa.
4. Walipoona hivyo kwa hasira wakaamua kumpaka rais, kwa info za Lowassa kuwa waziri wa nje, na kwamba wanashirikiana naye ni habari ndefu sana ninayo hapa, wamekuwa wakiisambaza kwa baadhi ya wananchi na ninayo bado ninaipitia na kuangalia upepo kabla sijaiweka hapa wazi, ambapo wamefikia hatua sasa hata ya kumtaka muungwana kuondoka kwenye power!
Now let me say this, hatimaye this ufisadi na the rest of the story now it is just starting to get interesting and very serious, ninatabiri kuwa in the next few months, wananchi wa Tanzania tutajionea makubwa sana katika hawa wakuu kugombea power!
Mkuu MMJ, respect kwa courage ya kuileta hii kitu, ni sawa kwa 100%, na when all is cleared nitaimwaga hapa the original message ya majibu yao kwa hasira ya kujulikana ya kudai kuwa Lowassa atakuwa waziri wa nje!
Ahsante Wakuu!