chingyeddy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 339
- 138
Haaaaaaaa haya basi sawa, lakin utamaduni wa wenzetu ni mzuri.
Hahaha,sasa tutafanyaje baba watoto na mimi leo kiuno kimekataa kabisa siwezi kukuna nazi.... tule chukuchuku?Hapo kwenye kukuna nazi nisamehe bure laaziz.... bora nioshe vyombo tu!
Mwanaume apike halafu wewe ufanye nini? Utawapata wanawake wenzio na sio mwanaume.Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Mimi nipo salama kwa aina yeyote ya chakulaYaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Kula kona mzee, we veeeepee, eeheewe papuchi umepewa na Mungu bure kuitoa bure huwezi mpaka utunyanyase wee
alafu hapa hakuna boys kuna wanaume. naona umesema kwenu wapo boy wawili na wewe sasa tangia leo hao sio boys ni wanaume sawa dada.
Hovyooo, kupika Ni ubushoke? Bas usinye kabisanyie mnafanya wanaume wengine tuonekane mabushoke mtaani
Uzaramo kazi Sana, maneno mengii Kama karanga"Inaonekana una malalamiko ka Mtoto wa kambo"
Yesu Rudi Tu, dunia inatisha mbayaYou sound so romantic Uhhh, hivi boys kaa nyie do exist au ur just impressing me with words? Aki imagine ur words make feel cold like ice cream I used to stole in my mom's fridge when I was 7 yrs. Mmmh kama nakufeel kwa mbali..... Get me couple of more... Yeah!!!!
We pumzika tu mamii. Wacha nikachukue take away.... unapenda kula nini mamito?Hahaha,sasa tutafanyaje baba watoto na mimi leo kiuno kimekataa kabisa siwezi kukuna nazi.... tule chukuchuku?
Elimu, elimu, elimu, mbongo yeye anajuaga timing Tu Na ujanja ujanja usiokuwa Na maana, pita hivo mzeeYaani hata akikuzidi nguvu, unamfanyia timing unampiga ambush la maana akishtuka anajikuta moi akiungwa ungwa mifupa na asiposhtuka anajikuta kino makaburini......hili linakua fundisho na kwa vizazi vijavyo
Mi siwezi washa sigaraYaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Hakimu usikariri mzee, Kuna watu maisha yao yote tangu tumbon yamenyooka mbaya mbovu, Kuna wengine shida mwanzo mwisho, vile Mungu alivompangia mtu, badilika mwanaume cheza Na karne usicheze Na jinsia mwanaumeBahati yako sijui kutukana. Kupika kwa mwanaume ni 'optional' na kwa mwanamke ni 'mandatory'
By the way, don't over rate yourself. What do you bring to the table? Una vitu gani hadi wanaume wakupikie wewe? If you have compensating attributes sidhani kuna atakae kataa,ila kama ni wale wa picha za 'sosho netiweki' full time (Which I believe you are) jipange upya and start learning to cook real fast, acha hizo phrase za kuaiga toka kwa movies, life in Tanzania is more than that!
Kula kona kiana, ushamba mzigoKweli Dunia inaelekea mwisho,yaani wewe umkatae mwanaume kisa hajui kupika!!!,ungeniambia hajui kutafuta pesa sawa.lkn kwa hili haupo serious na maisha kabisa.
1.BushlandKula kona kiana, ushamba mzigo
Njoo hapa arachuga mamii, Leo nilikuwa nabonga Na mama Wairimu pamoja Na mama jambii, after Easter ntakuja Nairobi mum1.Bushland
2.sniperman
You guys mmeniipress.
What should I do with you guys?
Nimewapenda BUREEE kama elimu Bure ya Magufuli, although sijui kunaendaga vipi, maana, nikipitia jukwaa la siasa naona tu mezesha!!
mmmmmh lakini hizi tabia sijawahi kutana nazo huku r.chuga aisee njere huwezi mpikilisha kwa hakikaNjoo hapa arachuga mamii, Leo nilikuwa nabonga Na mama Wairimu pamoja Na mama jambii, after Easter ntakuja Nairobi mum