Aisee musee wapo ,hiyo tamaduni ya kukaa jikoni kwa mwanaume huku sisi masaini hatuna atiSidhani kama kuna mtoto aliyezaliwa tanzania akakulia tanzania halafu asijue kupika iwe mwanaume au mwanamke.
Si lazima uwe mtaalam wa mapishi lkn atleast unaweza kuandaa msosi simple ukalika.
Mimi nimejifunza kupika nikiwa na miaka saba mpaka leo nimeoa.
Wakati wa uchumba, mchumba alikuwa ananitania eti napika chukuchuku yaani ni kutia maji, chumvi, kitunguu na.mafuta basi hamna mbwembwe.
Anyway, in short I don't depend on any man, what we have is enough for me, no need of supplementing to a man, may be stiff d*ck. What a man can do to me apart from d*ck? Money? Fur coat? Diamond chain? What? Car? Nothing tu. So ukileta ujinga nakufanya maiti kama king Konga.Bahati yako sijui kutukana. Kupika kwa mwanaume ni 'optional' na kwa mwanamke ni 'mandatory'
By the way, don't over rate yourself. What do you bring to the table? Una vitu gani hadi wanaume wakupikie wewe? If you have compensating attributes sidhani kuna atakae kataa,ila kama ni wale wa picha za 'sosho netiweki' full time (Which I believe you are) jipange upya and start learning to cook real fast, acha hizo phrase za kuaiga toka kwa movies, life in Tanzania is more than that!
Utageuzwa mume bwege sasaivi kijana. Mwanaume haingii jikoningoja nije nikupikie w'end hii, unapenda kula nini
Uliyataka mwenyewe kazi kuiga uzungu tu ishi kiafricaNilikua namsaidia mpenzi wangu kupika na kufua sometimes, siku moja akanitolea nguo nifue, nilisikia hasira na kutetemeka kama nimepigwa shoti ya umeme, toka siku hiyo naishi ki mfumo dume tu
we bado upo karne ya 19 mwanangu, usiingie jikoni kisa nini sasa?Utageuzwa mume bwege sasaivi kijana. Mwanaume haingii jikoni
Ikiwa Dona na kuchoma nyama, haswaaa bada aka ugali wa muhogo niatafuteSiku mojamoja sio mbaya kina baba mkatusaidia kupika
Hahaha life is too short so lve vile unafeel.kupika sawa ila suala la kuwasha sigara hilo hapana! uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ya binadamu....kupika mi najua kupika tena vizuri sana pamoja na kuosha vyombo n.k ila kama wataka na suala la sigara ni bora uniruke futi 10,000 toka usawa wa bahari, huwezi kushabikia mtu anayevuta sigara na ukataka ndo awe mwanaume wako !
17 th century suits your needs.Madem wa siku hizi kazi kuiga uzungu wa gender balance za kishamba. Upikiwe, ufuliwe na bado hela upewe.. nonsense.. Acheni kuiga ishini kiafrika kama babu zetu. Wenzetu wazungu wanaweza gender balance course wanaweza kutegemeana kila kitu hadi pesa hamna cha mimi mwanamke wewe mwanaume kazi yako kunitunza... siku hizi utaskia ooh Mimi na baby boy wangu tumegegedana!!! Sema nimegegedwa na boy wangu. Na nyie madume semeni nimegegeda siyo tumegegedana na dem wangu.. hizo ni gender za kisasa babu zetu hawakuwa na hizo.
Teh teh,leo nisaidie kukuna nazi tu mpenzi..mboga ntaiunga mwenyewe usijali...Kwa mfano leo nikusaidie kupika nini?
Si anakupa ile kitu yako unayoipenda ile ya bata? Hutomfulia na kumpikia bado????Kwa hiyo hela mpewe, dydyu mpewe, kupikiwa mpikiwe, ww mtoa mada una funza kichwan Co bure
Sa mi.nkipika we kaz yako ni ipi?
We utakua hujui kupika weweMadem wa siku hizi kazi kuiga uzungu wa gender balance za kishamba. Upikiwe, ufuliwe na bado hela upewe.. nonsense.. Acheni kuiga ishini kiafrika kama babu zetu. Wenzetu wazungu wanaweza gender balance course wanaweza kutegemeana kila kitu hadi pesa hamna cha mimi mwanamke wewe mwanaume kazi yako kunitunza... siku hizi utaskia ooh Mimi na baby boy wangu tumegegedana!!! Sema nimegegedwa na boy wangu. Na nyie madume semeni nimegegeda siyo tumegegedana na dem wangu.. hizo ni gender za kisasa babu zetu hawakuwa na hizo.
Hapo kwenye kukuna nazi nisamehe bure laaziz.... bora nioshe vyombo tu!Teh teh,leo nisaidie kukuna nazi tu mpenzi..mboga ntaiunga mwenyewe usijali...