Sipendi wanaume wasiojua kupika

Sipendi wanaume wasiojua kupika

Very simple kutengeneza carbonara, boil ur spaghetti, toanisha maji, then hamisha kwa sufuria empty, washa gas, weka spaghetti, then changanya na maziwa mgando ziive at a time in the same container for 15 mints after hiyo serve. & so if you don't know how carbonara is prepared atleast today umejua.
eti kutoanisha maji yani unazidi kunimaliza hahahahaha wadada wa Nyeri bwana.......
 
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Sasa kama sisi tukipika,na wewe utafanya kazi gani??
 
Acha mbwembwe, mtoto wa kiume anatakiwa ajue kusaka hela na mtundu kitandan!

hayo ndo majukumu, vingine vyooote hadithi tu!
 
My cooking skills are for my private use and in emergency times only, atakaeona hii principal haifai asepe after all ratio bado ni 1:4 , sipiki hata kwa bahati mbaya, maana hawa dada zetu kwa uzoefu wangu ukimzoesha kitu anachukulia ni haki yake.

Nilikua na gf chuo nikawa nawahi darasani namshikia nafasi maana madarasa yana jaa sana, siku moja nikajisahau kumshikia nafasi aka mind kinoma hakuongea na mimi wiki nzima, nikiangalia mimi nakaa hostel nje ya chuo na yeye ndani ya chuo nikagundua nshafanywa bwege....na mimi nikamchunia forever......kwa hiyo wanaume wenzangu muwe makini na hawa viumbe....
 
Wanawake wenye tabia ya kutaka kuongoza mwanaume ni virus,,yaani ninunue vyakula nikifika nyumbani nivipange vya friji na vya kabati,,bado nije nipike tena.Dah!! Labda niwe na akili za kushikiwa..Kwa mwendo huu talaka haiepukiki na wanawake wa kikenya wanaowapiga waume zao sijui wanaanzaje au hao wanaume ni madhaifu kiasi gani? Maana mimi mwanamke akiwa serious ananipiga nahisi kama kuna watakaokuja muokoa atakaa Icu mwezi na wodi ya mifupa miezi tisa.
 
Yaani hata akikuzidi nguvu, unamfanyia timing unampiga ambush la maana akishtuka anajikuta moi akiungwa ungwa mifupa na asiposhtuka anajikuta kino makaburini......hili linakua fundisho na kwa vizazi vijavyo
 
wanawake wa kenya wanapenda kutembeza kichapo kwa bwana zao wana mfumo jike sana kwao ila wanatupenda wanaume wa kibongo
Haaaa hili ni kweli aisee,ni wababe na kingine hupenda sana Dic....hiyo ndo chakula yao
 
Yaani hata akikuzidi nguvu, unamfanyia timing unampiga ambush la maana akishtuka anajikuta moi akiungwa ungwa mifupa na asiposhtuka anajikuta kino makaburini......hili linakua fundisho na kwa vizazi vijavyo
Yaani anatakiwa ajute kwa uamuzi wa kijinga aliouchukua.Na mpaka akuzidi nguvu sio rahisi hata kidogo.Japo najua wanawake wetu wa Kibongo hawana hio tabia sana tunaishi kwa kuongea tunapishana kauli mara nyingi.
 
Kupika nitapika lakini na ww unipe papuchi vzr siku huyo
 
You sound so romantic Uhhh, hivi boys kaa nyie do exist au ur just impressing me with words? Aki imagine ur words make feel cold like ice cream I used to stole in my mom's fridge when I was 7 yrs. Mmmh kama nakufeel kwa mbali..... Get me couple of more... Yeah!!!!
Ooh no baby I am always like.
Believe I can carry you whenever you want, wherever we are I don't care who's watching. Maadam utaniambia nikufanyie nini niko radhi, And I will do it over and over again
 
Kupika ni swala zuri kwa mwanaume. Ila huo utaratibu wa mtu kuja kukutembelea ukamuonesha jiko akupikie,hapo umechemsha.
 
Back
Top Bottom