Sipendi wanaume wasiojua kupika

Sipendi wanaume wasiojua kupika

Ina mana wewe unashinda majumbani mwa watu eehe, upo kitaa kip mzee?
hapana sio kwamba nashinda majumbani mwa watu hapana ila ni kwamba mi nimezaliwa hukuhuku na kukulia hukuhuku kwa hivyo maisha ya huku nayaelewa vilivyo
 
Anyway, in short I don't depend on any man, what we have is enough for me, no need of supplementing to a man, may be stiff d*ck. What a man can do to me apart from d*ck? Money? Fur coat? Diamond chain? What? Car? Nothing tu. So ukileta ujinga nakufanya maiti kama king Konga.


Madam, your mind is so narrow you only understand a man in only two dimensions: Money and Di*k!
I pray you don't get married, as you will institute yet another doomed marriage!

Just lead a life of being hit and left alone,it suits your ego and frame of mind.

Few trips on a Boeing to Europe or America and lots of movies/soaps shouldn't brainwash you to that extent. Come back to your senses, this is Tanzania, Africa. There was a reason you were placed here in the first place. Abide by the rule of the land!
 
Wanawake wenye tabia ya kutaka kuongoza mwanaume ni virus,,yaani ninunue vyakula nikifika nyumbani nivipange vya friji na vya kabati,,bado nije nipike tena.Dah!! Labda niwe na akili za kushikiwa..Kwa mwendo huu talaka haiepukiki na wanawake wa kikenya wanaowapiga waume zao sijui wanaanzaje au hao wanaume ni madhaifu kiasi gani? Maana mimi mwanamke akiwa serious ananipiga nahisi kama kuna watakaokuja muokoa atakaa Icu mwezi na wodi ya mifupa miezi tisa.


Hivi vitoto vilivyosoma vishule vya kizazi kipya kama Boabab, Marian, Feza na ukoo huo are so full of fantasy sh*t! Halafu vipo veri iresponsibo, to them a man cooking or not cooking don't make much of a difference!

Vyenyewe viulize kama vinajua hata kufunua soda! They know nothing,they expect everything to be done by someone else but them.

They don't know their duty is to transform a house into a home where the husband and kids always feel proud to be in, na jikoni ni Makao Makuu ya Mwanamke, that's a workshop where she puts her into reality for all to see!

Kupika tunajua sana,as this is Africa na maisha ya ki-bachelor tangu A-Levels hadi tumeanza ajira baada ya chuo tumepika sana,osha vyombo sana,fua sana,pasi sana,deki sana. But after marriage, I let the specialist show me what she got!
I may try to cook if the 'specialist' is trying to let me in on some of her secret recipe, it should be rare, not mandatory and she should understand and embrace that fact!

Vitoto havijui kufua,havijui kupika,haviwezi kufanya usafi,havijui hata kunipasia nguo,havijui kurudishia vishikizo vya shati vilivyolegea,havijui hata ku-brash viatu vya mwanaume! Na Mungu pia hata havimjui kama inavopasa,kusali yenyewe shida, kha!

Vinajua kupendeza tu na kunukia vizuri! Aisee, mtombw* tu kwakweli na muachwe maana hakuna namna ingine!
 
Kwa staili hii mtalalamika sana hamuolewi, mnajifanya akina beyonce nidhamu kwa wanaume zero.. mtaishia kuzalia home tu
 
Aisee, Nilivyosoma original post nimeishia kutetemeka kwa hasira.
 
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.


No attachment. .....

I love dancing

I love athletes and

I love eating well thus I love cooking to the extent that I am fixing my schedule to attend CULINARY ART SCHOOL, I HEAR FORODHANI WAS AMAZING I DUNNO LITERALLY. ....


Eating well is good...
 
Hoteli zote mama ntilie wwoootee chipsi vumbi zootee chipsi matope zoote mwanaume akupikie!!!! Endelea na dildo
 
Mwanamke asiejua kupika akitegemea kupikiwa abakie kwao tu
 
We mvivu kuliko wanawake wote duniani. Hadi unawaza mwanaume apike?

Mawazo yako yamevuka boda
 
Malezi yako yanatia shaka...Nahisi wewe hujalelewa na wazazi wako wawili,yaani baba na mama.
 
Back
Top Bottom