Sipendi wanaume wasiojua kupika

Sipendi wanaume wasiojua kupika

Kwani kujua kuwasha sigara ndio kujua kupika....!??
 
Unajua Sijaiangalia upande wa mleta mada....nimeangalia kupika kama kupika.

Ni vyema watoto wote bila kujali jinsia wakajua kupika. Maana ipo siku wataishi wenyewe au wenza wao kupata tatizo litakalohitaji huduma hiyo

Hii point sawa, lakini kweli eti unaniita nije kwako kukupikia?

Halafu wewe wakati huo unaangalia Telemundo!
 
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
"Inaonekana una malalamiko ka Mtoto wa kambo"
 
Kunitolea nguo nifue ni dharau, mie nimkute anafua namsaidia au namwambia kaa hapo pembeni awe ananiongelesha mie nafua naskia faraja, au akinifurahisha naingia jikoni nampikia chakula, ila ndio nijisikie mwenyewe au aniombe kinamna namna aaaa.... you know!!!!!!!!!!! Hapo inakua burudaaaaani

Ukimaliza kufua hizo nguo kaongeze maji kwenye maharage, sawa! Weka maji ya ugali kwenye jiko lingine kabisa.
 
Ropost: 15614107 said:
Watoto wengi waliozaliwa na kutomuona baba yao wako hivi
Mwisho wa siku na wao hawaolewi bali kuzalishwa tu

Mkuu ndo yale yale Maji hufuata mkondo.
 
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.

hahahahahahahaha, mwisho wa kuruka futi 3000 lazima ukutane na jabali likupasue kichwa au kama umeweka yale makatani ya wahindi ndio itakuwa kitanzi chako
 
Tatizo lako nini? Si utafute wanaojua kupika? Ila ukweli ni kwamba wewe hauoleki ila unazalishika.
 
Watoto wengi waliozaliwa na kutomuona baba yao wako hivi
Mwisho wa siku na wao hawaolewi bali kuzalishwa tu

tena wanazalishwa na watu wasio watarajia, wanapapatika mambo yakiwaendea kombo, sasa mtu atapika vipi wakati ana kucha kama za simba au chui?? kucha zinatangulia kwenye mchuzi kabla ya upawa
 
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Wapishi mahotelini Mbona wapo wengi tu?
 
Utafikiri unajua hata kuviandaa kama sio kuviona supermarket tu ,
Fuatilia replies, Kuna mwenzio nishamjibu swali kama lako. Of course siez bonga kitu sijui how it made.
 
Njoo mtaani tukuonyeshe vile sisi huishi ,hakuna cha gari wewe panda matatu ,hakuna cha kebab hapa ni muhogo ..
Hahaha... Naona unaleta lyrics za jua cali & sanaipei (mtoto wa geti kali)
 
Back
Top Bottom