Yaani inaleta raha kweliUmeona eeeh
Hata kama kachemsha tu unanogaaaa.....
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Harakati za maisha unakutana na watu mnapoteana unakuja kuskia kaolewa ama kaoaAsante limekukumbusha wapi tena uncle Ben?
Mi mbona najua kupika,kuanzia jikoni hadi kitandani....Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.

Kwa mfano leo nikusaidie kupika nini?Siku mojamoja sio mbaya kina baba mkatusaidia kupika
Kumbe malezi mazuri ni yale ya mwanaume kutokupika?Inaelekea hukuishi na baba yako au kwenu watoto wa kiume walikuwa wakipika, hilo si baya ila kusema mwanaume akija kukutembelea lazima akupikie inaonesha huna adabu na sababu kubwa ni kutopata malezi kamili kutoka kwa wazazi wako wawili.
....teh teh teh...hivi kwahiyo huyu mbulumundu pia kaitumia hiyo likizo(Kenya vile umesema?) kubadili jinsia?47pro ni binti anaekuja kwa kasi sana na anatishia nafasi ya manguli kwenye jukwaa hili kwiiii kwiiiii nipo pembeni nausoma mchezo kwanza uku nikisubiri arudi toka Kenya kipindi cha likizo.