hahahahha namuachia jikoIla kupika kwa mwanaume sio dhambi tatizo awa dadazetu ukimsaidia to kupika bas ishakua shida utaambiwa ubandika ad maarage na kuongeza mkaa
hahahahha namuachia jikoIla kupika kwa mwanaume sio dhambi tatizo awa dadazetu ukimsaidia to kupika bas ishakua shida utaambiwa ubandika ad maarage na kuongeza mkaa
ndo maana........ kwa hakika wanawake wa huku hawana hiyo tabia uliyonayo hahahahahahaha....Kwani wewe uko pande gani, mimi niko kwa buda uhuru, parklands, Nairobi area
wanawake wa kenya wanapenda kutembeza kichapo kwa bwana zao wana mfumo jike sana kwao ila wanatupenda wanaume wa kibongondo maana........ kwa hakika wanawake wa huku hawana hiyo tabia uliyonayo hahahahahahaha....
nyie mnafanya wanaume wengine tuonekane mabushoke mtaaniI'll cry and cry and crrrrrry and cry. I'll cry whole day.
Watoto wa kishua, shida sana. Vyakula vyote ulivyotaja ni vile unavyokulaga pale hotelini. Mtihani nikwambie eleza namna ya kupika vyakula sasa. Watoto wa kishua 50:50 bado hawajaielewa kabisa.Spaghetti carbonara na avocados salad.
Very simple kutengeneza carbonara, boil ur spaghetti, toanisha maji, then hamisha kwa sufuria empty, washa gas, weka spaghetti, then changanya na maziwa mgando ziive at a time in the same container for 15 mints after hiyo serve. & so if you don't know how carbonara is prepared atleast today umejua.Watoto wa kishua, shida sana. Vyakula vyote ulivyotaja ni vile unavyokulaga pale hotelini. Mtihani nikwambie eleza namna ya kupika vyakula sasa. Watoto wa kishua 50:50 bado hawajaielewa kabisa.
aaah!! kwanza nitakuwa nafanya mazoezi ndani kabisa ili uniogope vizuri muda mwingne unaezakuwa punchin bagHahaha Leta ujinga nikugeuze maiti.
Mtoto wa geti kali sio ?? Sie zetu ni ugali na ndondo halafu unashushia na barafu ya ukwaju ....Kwanza hatupikangi na makaa, PILI hiyo marage sikulagi, inafanya tumbo kuuma.
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Huna baba kama ungekuwa nae usingeandika hayo
Haya ni madhara ya watoto kuzaliwa bila kuwajua baba zao
Sure!!!Mtoto wa geti kali sio ?? Sie zetu ni ugali na ndondo halafu unashushia na barafu ya ukwaju ....
Kigezo cha kutokujua kupika hakina nguvu sana katika suala la kumkubali au kumpiga chini mwanaume. Vipo vitu ( sifa ) zaidi zinazoangaliwa na tarajiwa kutoka kwa mwanaume, lakini sio ilo la kutokujua kupika.Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.