Sipendi wanaume wasiojua kupika

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.

Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.

Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
 
yereeuwi, mie wa tandale nitayajulia wapi hayo, siku ukipanga kula ugali nishtue, au viazi au ndizi au wali au...au..., hilo ulotaja ndo naskia leo, au nije unifundishe
Kesho utanipikia boko boko eee?
 
Inaelekea hukuishi na baba yako au kwenu watoto wa kiume walikuwa wakipika, hilo si baya ila kusema mwanaume akija kukytembelea lazoma akupikie inaonesha huna adabu na sababu kubwa ni kutopata malezi kamili kutoka kwa wazazi wako wawili.
Hahaha... Mkuu mbona kama umepanic? Of course kwetu tupo WATATU, boys wawili afu me wa mwisho, yaani full kupikiwa.
 
Back
Top Bottom