Teh teh hakuna cha lyrics hapa nataka kushika hiyo ngodha ......Hahaha... Naona unaleta lyrics za jua cali & sanaipei (mtoto wa geti kali)
Yaani we Warren hujui kupiga kumbe....... Hii imenipa nguvu ya kujifunza kupika!!
You sound so romantic Uhhh, hivi boys kaa nyie do exist au ur just impressing me with words? Aki imagine ur words make feel cold like ice cream I used to stole in my mom's fridge when I was 7 yrs. Mmmh kama nakufeel kwa mbali..... Get me couple of more... Yeah!!!!Let me be your housekeeper baby, I will make breakfast for you, a woman should be treated like a Queen. Cook your dinner and give you bath before you sleep. How about that
Hahaha... maharage sio class yako sio??Kwanza hatupikangi na makaa, PILI hiyo marage sikulagi, inafanya tumbo kuuma.
Lafudhi yako kimaandishi kama ya wakenya, wewe ni mkenya au umetokea kuishi huko..?La hasha, simaanishi hivyo, ila for me lazima tumbo iume so sioni haja nazo.
Kila satoo nikuamshe ngware tusilaleeKuota nayo.... Nkt!!!!
Mimi najua kupika ugali basi!Yaani we Warren hujui kupiga kumbe