Sipendi wanaume wasiojua kupika

Sipendi wanaume wasiojua kupika

Mabaga.. Mapiza.. Chakula cha muathirika kuku hoho karoti njegere unachanganya pamoja nikupikie nn mrembo
 
Nilikua namsaidia mpenzi wangu kupika na kufua sometimes, siku moja akanitolea nguo nifue, nilisikia hasira na kutetemeka kama nimepigwa shoti ya umeme, toka siku hiyo naishi ki mfumo dume tu
 
Nilikua namsaidia mpenzi wangu kupika na kufua sometimes, siku moja akanitolea nguo nifue, nilisikia hasira na kutetemeka kama nimepigwa shoti ya umeme, toka siku hiyo naishi ki mfumo dume tu
Hahaha.... Career yako fupi kushinda Benjamin mkapa.
 
Mimi ukiwa mchumba wangu wewe kazi yako ni kupendeza tu. And baby believe me I can cook!!!
 
Inaelekea hukuishi na baba yako au kwenu watoto wa kiume walikuwa wakipika, hilo si baya ila kusema mwanaume akija kukutembelea lazima akupikie inaonesha huna adabu na sababu kubwa ni kutopata malezi kamili kutoka kwa wazazi wako wawili.
Kabla hamjafika kwa baba yake na malezi yake.....

Kuna ubaya gani mwanamume akijua kupika????

Atachubuka mikono?
Uanaume wake unakwisha?????

Au mwanaume hasikii njaa?

Na anapoanza kujitegemea ina maana anakula magengeni (ni sifa???)
 
we papuchi umepewa na Mungu bure kuitoa bure huwezi mpaka utunyanyase wee

alafu hapa hakuna boys kuna wanaume. naona umesema kwenu wapo boy wawili na wewe sasa tangia leo hao sio boys ni wanaume sawa dada.
 
Kabla hamjafika kwa baba yake na malezi yake.....

Kuna ubaya gani mwanamume akijua kupika????

Atachubuka mikono?
Uanaume wake unakwisha?????

Au mwanaume hasikii njaa?

Na anapoanz kujitegemea ina maana anakuka magengebi (ni sifa???)
Ni jambo zuri kila mtu ajue kupika ila sio kupika kwa sababu aliyoitoa huyo mtoto.
 
Kabla hamjafika kwa baba yake na malezi yake.....

Kuna ubaya gani mwanamume akijua kupika????

Atachubuka mikono?
Uanaume wake unakwisha?????

Au mwanaume hasikii njaa?

Na anapoanz kujitegemea ina maana anakuka magengebi (ni sifa???)
Woooh, I like you, tell me what you want? A fur coat? Ooh Dimond chain?
 
nilijifunza kupika wakati naanza masomo ughaibuni!, sababu kwenda resturants ilikuwa gharama sana , mpaka sasa nimezoea na enjoy sana chakula ninachopika mwenyewe kuliko cha hoteli au kwenye mgahawa..

P.S - sivuti sigara!
 
we papuchi umepewa na Mungu bure kuitoa bure huwezi mpaka utunyanyase wee

alafu hapa hakuna boys kuna wanaume. naona umesema kwenu wapo boy wawili na wewe sasa tangia leo hao sio boys ni wanaume sawa dada.
Asanti
 
niende ghetto kwake nikampikie, nimuoshee vyombo, sijui maji ya kuoga na kumwashia sigara hii itakuwa 50-50!

nashukuru umri wa ubarobaro umepita.
 
Back
Top Bottom