Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,309
- 144,666
Eeee anaitwa sabrina
Baba yake ni nani?
Eeee anaitwa sabrina
Baba ake ashafarikiBaba yake ni nani?
Baba ake ashafariki
AsanteeOh wow.
Pole sana mama Sabrina.
Msalimie na Sabrina...mwambie anko Ngabu anampa bonge la hi.
Sio kwamba siwapend watoto,ishu IPO kwa mama zao ni waharibifu wa ndoa nimeshuhudia hilo kwa ndugu yang wa karibuduh had nimekuogopa! so huna mapenzi na watt au!@binti wa kirombo
kweli wee ni kiboko!Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Mie mwenyewe nahic unatania.Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
At the time anapiga goti! Akiinuka anakuta vile vinuka mkojo navyo vimeshaolewa!!anaamua kwenda kwa yule bibi wa mtaa wa pili ili akapakwe dawa ya mvuto! Anakuta bibi naye keshaolewa!! Dah!Lakin kama kweli upo serious na hii issue plz piga goti sali naamin utampata.... ila jaribu pia kutazama background yako ya mapenz ipoje
Mkuu wewe Ni mtu wa dini sana?amen mkuu!
Sina wife ndg npo single man alone.hahahha mkuu nakukumbuka kwenye uzi uleeeeeeeeeeeeeeee hajambo my wife wako
5.Nina tabia njemahahahahhahha 5
5.Nina tabia njemahahahahhahha 5