Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,614
Miss Natafuta bado Unatafuta tu?
Ukitaka uwe na Uhuru! Usimpige mizinga subiria ndoa kama atakuwa muoaji kweli,akikupa chukua asipokupa basi,usimpangie masharti.wengine huingia katika mitego hiyo ya kugegedana kabla ya ndoa,wanapoforce wahudumiwe kama wameolewa.Maana mapenzi ni NIPE NIKUPE.so akiwa anatoa mmoja tu sio mapenzi hayo.utakuwa unauwezo wa kufanya unavyotaka ikiwa tu,utajiweka mbali na huduma zake,mpaka atakapokuoa,lakini ukishaweka tamaa ya kuchukua vyake.hilo la kujiamualia kufanya unavyojisikia sahau.na unaweza jikuta unapoteza bahati zako,kwa sababu,utaonekana mbabaishaji huna mapenzi ya kweli,upo kimaslahi zaidikusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
sijawai hata kuomba hela ya mtu mzee.hata mimi hela natafutaUkitaka uwe na Uhuru! Usimpige mizinga subiria ndoa kama atakuwa muoaji kweli,akikupa chukua asipokupa basi,usimpangie masharti.wengine huingia katika mitego hiyo ya kugegedana kabla ya ndoa,wanapoforce wahudumiwe kama wameolewa.Maana mapenzi ni NIPE NIKUPE.so akiwa anatoa mmoja tu sio mapenzi hayo.
Kwa muda huu umesha mpata Hugo mchumba au bado unaendelea kutafutaKila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Kama ni hivyo utakuwa sahihi,kama muoaji atakuoa na kama sio muoaji atakuacha.ila ukiingiza tamaa ya pesa tu.utaharibu bahati yako bure.na wengi hapa huwa ndo wanakosea.sijawai hata kuomba hela ya mtu mzee.hata mimi hela natafuta
Halafu sio wote wanatafuta hela au wanajimudu.wengine ni depandant kwa wanaume.sijawai hata kuomba hela ya mtu mzee.hata mimi hela natafuta
Iseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulichagua sana sasa ni zamu ndio adhabu yako
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Yap wengi tuhivi kuna watu bado mnatafuta wachumba?
Ahsante mkuu!Pia sio kila mwanamke anaweza kua mke,,nop nop nop,mke ina mambo mengi inawezekana huna,mke sio uke tu,lah hasha,kuna ving sana kuhusu mke so inawezekana ww ni mwanamke mzur,muelewa ila sio mke,ungeweka na umri tujue kwa nn mpka muda huu upo single,au ni ile sifa ya singke mother unayo? Kama huna bas kuna kitu kinamiss tena kikubwa. Jitahidi kua Mwanamke,,sio mke yu haitatosha,unaikosa sifa ya kua MWANA,ila unataka inayofuata ya MKE,pole
Mimi nataka wewe tu ndio unipe mistari!hahahah mimi sio mama mchungaji bwana sinakipawa cha kuhubiri! au la nikuconect na mzee wa kuliamsha dude gwajima hahaha! umenifurahisha sana
Mimi nataka wewe tu ndio unipe mistari!
Hao wengine siwataki