ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,761
- 24,874
[emoji2] [emoji2]Kweli shoga yamekufika hapa nilikwambia genye nazo zikizidi ujue unaweza changanyikiwa tafuta tu mtu nakutakia kila la kheri
[emoji2] [emoji2]Kweli shoga yamekufika hapa nilikwambia genye nazo zikizidi ujue unaweza changanyikiwa tafuta tu mtu nakutakia kila la kheri
iyo namba tano hata akiolewa ataachika tuVitu vinavyoweza kukukosesha mchumba au mme
1 tabia yako ya nje na ndani
2 mwonekano wako, mavazi na umbo lako
3 perception yako kwa wanaume
4 majibu na mbinu zako katika utafutaji wako wa ndoa
5 ujuaji kupita kiasi na utemi mwingi
Note : umri hausimami japo kuolewa sio Ndoto ya kila mwanamke
Sio kweli kwamba hutongozwi, sema wengi wanaokutongoza sio unaowatarajia.Nimefunzwa kujiheshimu siwezi kufanya hivo
Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Hujakosea mkuuiyo namba tano hata akiolewa ataachika tu
Ni kweli rafiki, wanadhani nina mtu, mwingine hata ukimwambia sina anakubishia, inabidi unyamaze tuSio kweli kwamba hutongozwi, sema wengi wanaokutongoza sio unaowatarajia.
Nipo hapa umenipataKila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Ni msimamo mzuri. Lakini huu msimamo ni huwa unaeleweka zaidi kama mwanamke utakuwa bado bikira.kusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
Labda upo katika standard za juu, then watu unaointeract nao standard zao zipo chini kidogo hivyo wanaogopa kufanya move.Ni kweli rafiki, wanadhani nina mtu, mwingine hata ukimwambia sina anakubishia, inabidi unyamaze tu
Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Hapana rafikiau una nyodo sana mamy!
mnafahamiana?!Tatzo ww mzuri sana
Yahitaji moyo wa ziadaWatu wote hawako sawa, kupitia hivyo vimaswali vya kuudhi ndio vinaweza kumfanya akakufahamu zaidi na kuvutiwa ama kutovutiwa na wewe.
Safari moja huanzisha nyingine.
Mimi ni wa kawaida tu, ila kama wana dhana hizo sijui, hata hivyo huwa sijiweki katika mazingira ya kuhitaji kutongozaLabda upo katika standard za juu, then watu unaointeract nao standard zao zipo chini kidogo hivyo wanaogopa kufanya move.
Utakuwa hot sana weye[emoji12]
Mimi ni wa kawaida tu, ila kama wana dhana hizo sijui, hata hivyo huwa sijiweki katika mazingira ya kuhitaji kutongoza
Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Change your attitude from miss " natafuta " to miss "mungu nipe mume"Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Hahahahaa eti sijui kutabasamu, sasa nitaanza kutabasamu kwa mtu nisiyemjua, hayo ndo mazingira ya kujitongozesha, acha nibaki hivihivi Mungu atamleta wakwangu kwa wakati wakeunadhan kuna mtu anajiweka bas mazingira hayo(ili iweje)?labda mapaka ya bar! huwa inatkea tu automatic tu!na was was upo serius sana hujui ht kutabasam!
Hahahahaa eti sijui kutabasamu, sasa nitaanza kutabasamu kwa mtu nisiyemjua, hayo ndo mazingira ya kujitongozesha, acha nibaki hivihivi Mungu atamleta wakwangu kwa wakati wake
Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Haha..kweli mkuu inabidi naye aweke mazingira ya kutongozwa. Nafikiri na nyie mabinti mnaotafuta wenza wekeni pia mazingira ya kujilengesha fulani kwa wanaume mnaofikiri watawafaa hata kama mnaona shida kuwatamkia. Wanaume ni wepesi kusoma hizi signal, mfano, unaweza hata kumsalimia kwa tabasamu, then inakuwa rahisi kwake pia kuunga story nyingine. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika sana endapo na nyinyi hamtaweka mazingira ya kuwataka hao wanaumePenda kutembea peke yako,
wanawake wengi mliyokuwa buys na kazi hukosa wanaume kwa tabia zenu za kutembea wawili au zaidi,
Kitu ambacho mwanaume ni ngumu sana kukutongoza.