Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Una chura?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Tangia ulivyoanza kutafuta hujapataga hadi leo ?????
Kaoge maji ya baharini
 
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Huku hakuna mkweli rafiki yangu utakachoambulia ni maumivu tu
 
Miss, juzi tuu hapa ktk uzi fulani ulisema umepata nikakupongeza sana.
 
Nyuzi kama hizi mm huwa nazichukuliaga serious 2% tuu.98% ni furahisha genge tuu.

over
 
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Appearance yako. Uvaaji. Kauli.
Suluhisho:
  1. Vua hiyo/hizo pete
  2. Vaa kidada dada. Dress for men. Lakini sio kimcharuko. You know what I mean.
  3. Jichanganye. Onesha kuwa you are free to mingle.
  4. Ruhusu ujulikane, usionekane kama una cha kuficha
  5. Ukiambiwa 'msalimie shemeji' usiogope kujibu kuwa uko free. Jibu hivyo kwa yeyote hata kama humtaki, pengine ametumwa na anayekutaka ambaye unaweza kumtaka.
 
hahahha mkuu nakukumbuka kwenye uzi uleeeeeeeeeeeeeeee hajambo my wife wako
hahaha 😀 unakumbukumbu. wifi mizinguo naona nikomaaae huku kwanza labda naweza pata kambale kwenye jangwa la sahara.
 
kusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
Kweli dada utagegedwa kwa gia ya ndoa utamaliza mji mzima eti ndoa hahahaaa
 
Interesting..
labda ndo njia ya kukukwepa tu wanajifanya una mtu kumbe kuna kitu kinawakimbiza
mbona wake za watu wanaojulikana wanatongozwa kama kawaida?
The Boss uwe na staha kwa mwenzio. Kwa hiyo unadhani nn kinasababisha anatumwa salamu wakati wenye ndoa zao mistari inashushwa?
 
Back
Top Bottom