Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

mtu mwenye akili timamu utamtongoza mke wa mtu kweli? mke wa mtu anatongozwa aliwe tu sio wa future

Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
 
kusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
 
Back
Top Bottom