sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,865
- 11,478
Hapana nimeota tu lakn hatufahamianimnafahamiana?!
Hapana nimeota tu lakn hatufahamianimnafahamiana?!
Kuambiwa msalimie shemeji na wewe kuitikia poa ni ishara tosha ya kujitambulisha una mtu,umejiloga mwenyewe!! Tafuta hata msebule sasa. Au ni pm tuongee uwe mchumba wangu wa nne !!Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Hivi ww ndyo mwenye hili limwili au ni picha nyingine tuu?Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Naona Nyani Ngabu unanyemelewa ila ulivyo na limoyo la kutokupenda sijui awe na kitu gani labda [emoji23][emoji23]
Ku handle sawa unajua,,,we unampenda nanii au kwa vile sina maubuyu yako eeWe Gea Habibu....
Mimi Li Nyani Ngabu sina limoyo la kutopenda?
Unanisingizia bana.
Ku handle sawa unajua,,,we unampenda nanii au kwa vile sina maubuyu yako ee
Kila siku nakujibu bana mim sio,,subiri wananibadilisha jina moderator,,Hivi wewe Gea....wewe ndo yule Gea Habibu wa Clouds?
Halafu mimi nampenda nani?
Mtaje hapa......
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Kila siku nakujibu bana mim sio,,subiri wananibadilisha jina moderator,,
Labda unanipenda mim[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] (najipendelea)
Halaf mi nataka zawadi bana
Labda nakupenda wewe? Hebu nitumie picha yako nikuthaminishe kwanza😀😀
Unataka zawadi gani wewe Gea? Unataka nikupangishie nyumba Gongolamboto?
Vyote nataka,picha nakutumia sasa hivi
Sina we unae?Kwani wewe Gea huna mchumba?
Sina we unae?
So tunafanyaje sasaHata mimi sina.
So tunafanyaje sasa