Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Vitu vinavyoweza kukukosesha mchumba au mme

1 tabia yako ya nje na ndani

2 mwonekano wako, mavazi na umbo lako

3 perception yako kwa wanaume

4 majibu na mbinu zako katika utafutaji wako wa ndoa

5 ujuaji kupita kiasi na utemi mwingi

Note : umri hausimami japo kuolewa sio Ndoto ya kila mwanamke

ukifikiria sana kuhusu tabia wanzotaka wanaume kwa mke mtarajiwa utashinda macho!mie nina asili ya kuongea na ucharming balaa! kwa men mwingn angenisema mh huyu dada kachangamka sana,lakin mwingn ndo anavutiwa na uchakaram wako! ,binafs mm kabla sijaolewa nilikua sistaduu wa kutukuka,navaa kisasa sina hata nguo 1 ndef,lakin ndo mume akafa akaoza,yaan sielew nn zaidi kinamata kwenye haya mambo!ah unaweza kuvaa maguo marefuuuuuuu na usiolewe! ah yote kwa yote kumuomba MUNGU!
 
miss natafuta sitaki uchumba mimi nataka ndoa kazi kwako kama uko serious ni PM
 
Ndio na mimi najibu sawa wakati hata huyo shemeji hayupo daaah

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Hilo swali tunauliza kimitego nia yetu ni kujua status ambayo itatusaidia kuendelea/kusitisha mipango.

Sasa ukijibu unaye kumbe hauna ni Kama umejifungia njia mwenyewe. Better to be honest kuwa huna mtu an uulize kwanini umeulizwa such qn.
 
Nyie wanaume mmemtenda dada wa watu
demi humu tunatendana tu, wivu Sina ila moyo unauma.

The way unavyo behave inaweza kukuweka mbali au karibu na watu flan flan.

Wengine tunayo perception kwamba maandishi ya mtu ndiyo yana reflect uhalisia wake. (japo sio kweli kwa 100%).
 
Unawachora watu hapa, that's all you're doing.
 
hahahaha naogopa kusema tutaitwa tunajiweka kutongozwa tongozwa!(tena sio na hao so called maboda boda) mie had nikiwa na mimba natongozwaga!tena ukiwa hv uwii!unajua ninashangaa sana!kungekuwa kutongozwa sio dhambi unajikuta kila mwezi unaolewa upyaaa!! balaa sana hili!
Si ndo hapo sasa

Huyu miss natafuta atakuwa anatutania huyu...
 
ukifikiria sana kuhusu tabia wanzotaka wanaume kwa mke mtarajiwa utashinda macho!mie nina asili ya kuongea na ucharming balaa! kwa men mwingn angenisema mh huyu dada kachangamka sana,lakin mwingn ndo anavutiwa na uchakaram wako! ,binafs mm kabla sijaolewa nilikua sistaduu wa kutukuka,navaa kisasa sina hata nguo 1 ndef,lakin ndo mume akafa akaoza,yaan sielew nn zaidi kinamata kwenye haya mambo!ah unaweza kuvaa maguo marefuuuuuuu na usiolewe! ah yote kwa yote kumuomba MUNGU!
Nguo moja ikichanika haimaanishi umeishiwa nguo ndivyo hivyo huwezi kuwa na vigezo vyote au tabia zote nzur au kero kwa sababu kila mwanaume ana vigezo vyake tofauti Na mwingine lakin tabia mbovu zilizo ota sugu hazibadiliki na Hakuna mwanaume anapenda kuvaa bomu
 
Shemeji hajambo ? Hapo mtu anatafuta assist ya kutokea akipata jibu ooh! shemeji alitumbukia chooni hakuna atakayerudisha nyuma majeshi. Mtongozano ndio unaanzia hapo hao wanaouliza sijui hebu tuone kidole kama hakina pete hao ni domo zege tu.
 
Chura yupo?kama hamuli utazeeka home teh teh teh teh

critical thinker
 
Hilo swali tunauliza kimitego nia yetu ni kujua status ambayo itatusaidia kuendelea/kusitisha mipango.

Sasa ukijibu unaye kumbe hauna ni Kama umejifungia njia mwenyewe. Better to be honest kuwa huna mtu an uulize kwanini umeulizwa such qn.
Ukisema sina anaanza kuuliza vimaswali vya kuudhi

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Nguo moja ikichanika haimaanishi umeishiwa nguo ndivyo hivyo huwezi kuwa na vigezo vyote au tabia zote nzur au kero kwa sababu kila mwanaume ana vigezo vyake tofauti Na mwingine lakin tabia mbovu zilizo ota sugu hazibadiliki na Hakuna mwanaume anapenda kuvaa bomu

na ww unaetafuta mke mwema hakikisha na ww ni mwema sio kukimblia kusema umeoa bomu kumbe na ww ni nuclear bomb
 
1.I am Muslim Boy.
2.Form Four Failed 2012.
3.Jobless
4.I have true love.
5.I am good behaved.
 
Back
Top Bottom