Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

At the time anapiga goti! Akiinuka anakuta vile vinuka mkojo navyo vimeshaolewa!!anaamua kwenda kwa yule bibi wa mtaa wa pili ili akapakwe dawa ya mvuto! Anakuta bibi naye keshaolewa!! Dah!
hahahahahaha hebu ngoja kwanza

kwan mtuma post ni mwanaume au mwanamke?
 
Yesu Ktk Kcma Cha Yakobo, Alimuuliza Mwanamke "Una Mume?", Yule Mama Akasema " Sina". Yesu Akamwambia Umenena Vema Maana Hata Mwanaume Ulienae Ss Co Wa Kwako.
 
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Mbona mnapenda kutusumbua hivi jamani
 
Mbona mnapenda kutusumbua hivi jamani


yaan wewe hapo unasumbuliwa ?hahahaha hebu kuwa serious na ww![HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta njoo uone kuna watu wanadai unawasumbua!
 
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Majina huumba...badili jina!
 
Naomba unipe mistari ya dini mkuu!
Njoo pm


hahahah mimi sio mama mchungaji bwana sinakipawa cha kuhubiri! au la nikuconect na mzee wa kuliamsha dude gwajima hahaha! umenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom