David ngayanimo
Member
- Nov 8, 2018
- 12
- 8
S.K.P FEATURING QUEEN DARLINE - MTOTO PILI.
Intro:
Wa da For Yo.!! Ma
This skp Simple Pozi Kwa Pozi ft. Majangili
For Over Israel Teacher Boy
Ny
andu B, Ommy G , Queendareen
Chorus:
"Mtoto Pili , Penzi la Ki - Gangster
Lina Akili , Ka - ufikiri
Me Nimentali , Uwe Mentali
Pili kama jangili , Penzi la Ki - Gangster
Si kama shubiri , Bali kama Asali
Tupendani We Usijali ,
"Aah Wala Usijali , Aah wala Usijali "
" Ommy G " Verse.. 1
Mpenzi Pili Mimi Nakupenda , Sema unachotaka Me nitakupa /
Angalau umeniacha lakini Me sintokutupa/
Nitakukumbuka milele Na milele Anayua kuadabuka/
Penzi la ki - Gangster lina Mizuka , Halina kupanda wala kushuka/
Ninapokuona Me Nastuka , Mpenzi Pili kwako Me nimefika/
Nisipokuona Mimi sili , wala si lali hata chakula sikitamani/
Tulipotoka ni Mbali Penzi la Ki - Gangster lina Akili/
Mpenzi pili , Penzi letu la Uhakika/
Nikisinyaka Me nitakupa , Nipende kwa kasi Ommy G sina michuzi/
Me Sipendi na Majigambo , Pili Nilikupenda Toka Kitambo/
Yeah..!! Pili Vipi.? Mambo
Queen Darline:
"Hey Mambo Poa..!!"
Ommy G :
"Me unanishtua Pale Nguo Unapozivua/
Naanza kunyonya chini Mpaka juu kunako Pua/
Kweli Penzi la Ki - Gangster unalijua/
Ninapokushika unapo Ondoka Najihisi Nipo Upweke/
Sawa Na Punda Piga Mateke Mtoto mtamu kama Ubweche/
Sometime chali kifo cha Mende/
Nakupa kitu Roho Inapenda/ Tunavyopendana Ma bitozi tunawatesa/
Domo Tenda Mate yako Matamu kama Asili....

Hamidu : Verse..
Mpenzi Ka na ufikiri/
Niilivyo kupenda kwa Mapenzi yetu ya kijangili/
Sometime Unanipa Mapenzi ya kikatili/
Toto pili Umeumbika MiThili ya Malaika /
Lakini Mh..!!Pesa inasumbua Roho Yangu ..!!
Toto Pili Karibu kwangu Kaa Naukijua
Hakuna Mwingine We ndio Wangu/
Toka Wanangu Kwa Furaha na Moyo Wangu/
Walimwengu hawaishi bila majungu/ Penzi letu Mimi na wewe Ajue Mungu/
Penzi la Ki - Gangster sio kama shubiri
Bali kama Asili , Tena ni Tamu kama Asili/
Tupendane Mavazi ya Ndani Tupeane/
Tena kwa uhakika /
We ni joki joho na Barafu langu la Moyo/
Tunaposhindwana Nabaki kimya Sina la kusema kupenda na Mchizi Sio Mchezo una Baraka/
Mikito Mirefu Nakufikisha Mpaka cha Nne/
Sometime Nakuuliza je? Pili Umeridhika/
Ndio Nimeridhika sio Mabitozi
Wanaregeza/
Nje Napeleka Mkunyati ile kichizi/
Heri kuchota Maji na Pakacha kuliko Mtoto pili kuniacha Nikiwa MuPweke /
Sina Raha Maishani , Nifanye nini Majirani Hi ni ndoto shetani/
Shetani..!!
Ukizingua ulinipenda Hapo Zamani , Sasa Hivi umenishusha Hata Thamani/
Mwanangu Mwenyewe Ommy G usiombe Mwanamke akuweka kama Mateka/
Wajanja watakucheka Mtoto pili ndivyo ulivyonifariji Natamani kukundukia/ wambea wanakuambia eti Hamidu Kawa kibaka/
Queen Darline :
"Kweli kwani ni Siri ..???
kwa Taarifa Yako We kibaka Shauri Yako Fuata Fuata ka mwambie Me sikutaki Nenda Zako"
Hamidu:
Ndio Naondoka Tena Na Ondoka/
Utakuja kujuta Huku unanikumbuka/ Hamidu Me Nasema Umasikini si kilema Ni Matatizo ya Dunia Mtoto Pili kanikimbia..!!
Queen Darline:
"Usinifuate usinifuate
Usinifuate usinifuate
Usinifuate Usinifatefate
Si sawa yako"

S.K.P Verse..3
Yo!!
Naongopa Safari Pili Tumetoka Mbali
Enzi za Ukoloni/
kwenye Vi Conner Tumesimama na Wanga Walibana na Sasa Wameachia/
Nawapiga Chenga Viluka njia ili kuja kwako Pili Vumilia/
Katu katu Sinto banduka Penzi la Ki - Gangster lina Mizuka Kwenye Misingi Tunabinuka/
Huko Nyuma kama Shedi/
Me Kinanda Ngoma Nzito Tomboa Bedi/
Wachabo Tunawafyeka Wengine Tunawacheka Moto Bati Kutazamana kama Wanyama/
Tukiwa Ndani unarena za Kizamani kifo kulala , kifo cha Mwewe/
Minyimbo mizito mpaka Kunako Moto/
Mabitozi watakupa Gono/
Msela nimezimia manukato pia piga Rasi Toka patupu/
Ramba kapu fainal nyapu/
Mtoto pili wacha Mapepe ule Mapupu/
Seke seke Tumechana nyavu/
kaa Fujo Mbavu kwenye kidosho au Penda kucheka kidogo/
MaJoJo mengi kwenye mikito Burugushani kitandani Waswahili kutwa kunyata kama mapaka/
Natoa Beat kali Anga zangu Mimi na Pili/
Mtu akitia Pua tuna mkill , Tuna mkill
Check out baby
Aah..

Outro:
This is #W10 and family Represent
G lover , Master lover , Gulungezi
I.Dill Mikka Mwamba For Over...
End..
DJ Gulu Ramadhan Nnanji " G LOVER" alifungua studio yake inaitwa G RECORDS lakini pia alikuwa pia alisimama kama meneja kwa baadhi ya wasanii Enzi hizo. Pia G lover aliweza kumpatia mikoba yote ya production Marehemu Roy Bukuku... naona katanjwa kwenye Outro ya wimbo huu kama sehemu ya pongezi kwa kile alichokifanya kwao ( kuwasimamia) na Mchango wake kwa ujumla katika Taifa hili kwenye upande wa sanaa..
Lakini pia Katajwa Producer Mikka Mwamba ambae alikuja hapa Bongo mwaka 1993 alipohitajika kuja Tanzania, na Wito wa kuja Tanzania aliupata Kutoka kwa kiongozi wa Band moja kubwa Hapa Nchini Tanzania. Band hiyo inafahamika kwa jina la 'Tanzania one theatre" T.O .T BAND" kiongozi akiwa ni Marehemu Captain " john komba" alipowasili kwa mara ya Kwanza hapa nchini Tanzania producer Mikka mwamba alienda ama alipewa makazi ya kuishi hapa Tanzania na Marehemu Captain john komba ..
Producer Mikka mwamba alifanikiwa kupata Rafiki mmoja ambae alikuwa ni sehemu ya familia ndani ya band hiyo maarufu kwa wakati huo " Tanzania one Theatre" alifahamika kwa jina la " Kenny" producer mikka mwamba alifanya urafiki wa ki siri siri na jamaa huyu maana alikuwa sio.mwimbaji wa nyimbo za Band ila alikuwa ni Mpenzi wa nyimbo za kufoka foka , producer Mikka mwamba alipomaliza kazi iliyomleta pale " Tanzania one theatre " ilimpindi arudi kwako finland 🇫🇮 japo kuwa mawasiliano yaliendelea kama kawaida na Rafiki yake mr kenny
Mikka Mwamba mwamba watu wengine kadhaa walihitajika tena kwenda kufanya kazi nyingine ya uandaji wa decomentary nchini Zambia 🇿🇲 ila Mikka mwamba alibadirisha Usafiri kafla na kuikataa ile dili nakuamua kuchukua ndege na kurudi Tanzania ili akutane na Rafiki mr kenny , kenny nae alikuwa na Rafiki yake anaitwa Tonny ambae tayari alikuwa na Idea ya vitu vya production..
Waliishi Maisha ya Ki ghetto ghetto kwa muda mrefu kwa hiyo mikka mwamba akawa amepata marafiki wawili Tayari hapa Tanzania, ( Wenyeji wake) producer Mikka mwamba alipelekwa kwa mara Ya kwanza Studio za Mj Records kwa mtu Mzima Master J hakuweza kupata Nafasi siku hiyo hiyo ila alipewa Muda kuwa watamjurisha kama wataridhika na kazi zake ila mikka mwamba na Rafiki zake " kenny & Tonny" hawakuta tamaa wakawa wamempeleka tena kwenye studio nyingine inaitwa " Fm studio & Fm Records " Meneja ama msimamizi wa studio hii aliposikiliza kazi za Producer Mikka mwamba alipendezwa nazo ndio chanzo cha kumpa nafasi na moja kati ya wasanii wa Mwanzo producer Mikka mwamba kufanya nao kazi ni Dully skyes. .
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202