Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,606
Nataka wewe je?Unataka kuwa mchumba wangu?
Nataka wewe je?Unataka kuwa mchumba wangu?
Nataka wewe je?
Tutalala liniNataka pia.
Pole sana...Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Tutalala lini
Eeee na kunywa HeinekenKulala usingizi?
Eeee na kunywa Heineken
Mlikutana wapi jamani Wengine tulipitwawaume za watu wale shoga yangu .
Mama sabrina je hulitaki,maana ndilo nililowaambiaBadili jina uwe Gea Ngabu..au Gea wa Ngabu.
Uliwaambia akina nani?Mama sabrina je hulitaki,maana ndilo nililowaambia
Moderator waliniuliza kama mim ni Gea niwe verifiedUliwaambia akina nani?
Duh!Moderator waliniuliza kama mim ni Gea niwe verified
Duuh pole mm kila anayenitongoz ananiamb ia ana mtoto na maama wa mtoto ameshaolewa ,nikiambiwa hivyo naquit mawasiliano _maana Nina roho ndogo kama ya kuku
Eeee anaitwa sabrinaDuh!
Kumbe walikuuliza?
Una mtoto anaitwa Sabrina?