mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani.
Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka analelewa na house girl badala ya wazazi.
Kuna waliotengana kwa sababu mbalimbalihivyo mtoto kukosa upendo ba mafundisho ya wazazi wote wawili.
Ali Kamwe sina uhakika ila nina uhakika asilimia 90 kalelewa na mzazi mmoja
,Akiwahi kumtukana Juma Mgunda,mzee wa watu mwaka 1989 kipindi anakiwasha Coastal union ,Ali Kamwe alikuwa hajazaliwa,mzee Mgunda mstaarabu sana alisema namuachia Mungu.
Ali kamwe amekuwa akitoa matamshi mpaka sisi kakazake tunashsngaa huyu dogo vipi