Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,809
- 79,430
hahahahahahahha,nasikia HUMU wamejaa
hahahahahahahha,nasikia HUMU wamejaa
Hahahaaa. Wala hawajajaa mkuu. Kawaida tu.hahahahahahahha,nasikia HUMU wamejaa
Mkuu fatilia intavyuuu nyingi hapa jf ndo utajua ninamanisha nini au kitu gan
nikisomaga POST za humu kuhusu hao Singo Parents ,huwa najua mko wengi ,kumbe sivyo ndivyo? ila wamejaa humuHahahaaa. Wala hawajajaa mkuu. Kawaida tu.
Nifuatilie interview zina nini?Mkuu fatilia intavyuuu nyingi hapa jf ndo utajua ninamanisha nini au kitu gan
Sa sijui ananufaika nini.
Au ndio kapima kwamba nyuzi za uongo uongo hasa zikihusisha wadada wa jf ndio zinakubalika majukwaani.
Na mimi nimeelewa sasa....Nifuatilie interview zina nini?
Ndio sababu huwa mnazishabikia ili mpate pa kusemea, sababu huwa wanaume hamkaukagi kwenye hizo interview.
Nimeelewa sasa mkuu.
hahahaahahaha,huu wa JF ndio nautaka mie,kumbe humu wengi singeli mazeliUmefanyika london na america lakin huu wa jf nimefanya mwenyewe
Nilijua tu utasema maada zangu hazina maana na ni za kiongo
Lakin ukweli ndo huo singo maza mumeongezeka sana aisee
Eti huwa mko wengi duuh. Mie sipo kwenye hilo kundi ila kiukweli single mother sio wengi kiwango cha kusema katika wanawake 10 wa jf basi 09 ni single mother.nikisomaga POST za humu kuhusu hao Singo Parents ,huwa najua mko wengi ,kumbe sivyo ndivyo? ila wamejaa humu
Umeoneee. Utawaona na vimaswali yao ya hovyo hovyo kumbe wanahesabu idadi ya single mother.Na mimi nimeelewa sasa....
Yaani tabia mbaya tu kwani usingle mother ni dhambiUmeoneee. Utawaona na vimaswali yao ya hovyo hovyo kumbe wanahesabu idadi ya single mother.
Hebu watupishe sie.
hapo sawa,hebu nipe mtazamo wako,kwenye 10 humu JF wanaweza kuwa wangapi hao singeli mazeli?Eti huwa mko wengi duuh. Mie sipo kwenye hilo kundi ila kiukweli single mother sio wengi kiwango cha kusema katika wanawake 10 wa jf basi 09 ni single mother.
Hilo nalikataa aisee
Kwenye kusema tutasema tu sababu hata wakisema wanawake wote wa jf ni single mother sidhani kama kuna kitu tunapoteza.Na ukimrekebisha unahesabika singo maza aiseee
Hahaaa. Hapo chacha.Yaani tabia mbaya tu kwani usingle mother ni dhambi