arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Unaonyesha wazi kama una roho mbaya unamchukiaje mtu humjui?
Unaonyesha wazi kama una roho mbaya unamchukiaje mtu humjui?
Msamehe .. nadhani atakuwa yuko kwenye menopause. ... kama spika vile
sio atakua,huyu ni mwanga!utakuwa mchawi!
achana nao wasio na adabu..
kubishana nao ni kujipa tabu
bora utulie upike vyako vitumbua
halafu unikaribishe mzee wa vitumbua...[/QUOTE]
Hahahahaha lol!...Mzee wa vitumbua vilivyonona lol!!! naona unapiga bomu kwa kutumia beti 🙂🙂 Kila la heri.
Unahuakika kama yeye anakupenda??...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!
Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
Sasa kama hujui kwanini humpendi unaanzisha thread ya nini sasa??
Watu wengine bana kujaza saver bila hata sababu za msingi sijui mkoje
Wewe kama hupendi michango na mabishano yake kuna option hapo
ya kuweka ignore list ili usione michango yake shida iko wapi tena???
Memo, mbona misimamo yangu yote iko wazi, mimi naegemea kwenye kweli tupu!. Mimi sio mwanachama wa chama chochote na sio mshabiki wa chama chochote bali naikubali CCM kuwa ndicho chama tawala na pia naikubali Chadema kuwa ndicho chama pekee chenye mwelekeo. Wengi wa members humu ni ama mashabiki wa CCM, ili usimame imara kwenye sisi lazima uwe muongo. Yaani CCM inaendelea kushinda based on lies, hivyo kama mimi ni mkweli wa dhati, siwezi kuishabikia CCM. Members wengi zaidi humu ni washabiki wa Chadema, tatizo la Chadema ni building false hopes bila strategies, hivyo watu kujenga matumaini mema kwa ndoto. Ukishaujua ukweli unasimama wapi, wewe simama kwenye kweli, utachukiwa, utabezwa, ila ukweli ule unaposimama na kutimia, waliokubeza, japo hawatakiri hadharani, kimoyo moyo watakuheshimu!.pasco, tofauti yako na ff ni moja tu, ff anaweka misimamo yake wazi pamoja na interest za misimamo yake hata ka,ma ni misimamo ya kipuuzi kabisa.
Wewe ndugu yangu huweki wazi misingi ya misimamo yako.
Ila najua kwenye 'wazee wetu wa kariakoo' hauelewani na ff.....tehe tehe
FaizaFoxy achana na huyo amekosa neno la kusemaa mabinadamu ndivyo tulivyo we songa mbele bana...siku ikipita sijaona threads yako huwa sina raha go baby..goooooooUmenikiumbusha:
Kulikuwa kuna "komedi" show ya TV zamani nilipokuwa nje ya TZ. Inaitwa "non stop nonsense" inaudhi watu hakuna aipendae lakini ikifika time yake kila mtu anaifatilia.
Na wewe unajidai hunipendi lakini kama hunioni unantafuta. Leo hujaniona muda mrefu ukanifungulia nyuzi. Nakupenda.
hamuonani mnachukiana mkionana je?