Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

I like everything about FF but her religious faith.

This is too bad mkuu Mwita...Is better to dislike somebody behavior and not religious faith...Religious war is something bad and never try this mkuu...
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
only83, pole!.

Usipompenda wewe, wenzako tamtamani!.

Ila pia hata kama ungempenda au usimpende, nadhani haijalishi kitu as long as humlishi wala humvishi!.

Huyu FF ni miongoni mwa vichwa vya ukweli humu jf japo....
 
pasco, tofauti yako na ff ni moja tu, ff anaweka misimamo yake wazi pamoja na interest za misimamo yake hata ka,ma ni misimamo ya kipuuzi kabisa.
Wewe ndugu yangu huweki wazi misingi ya misimamo yako.

Ila najua kwenye 'wazee wetu wa kariakoo' hauelewani na ff.....tehe tehe
 
Ndo umejua saa hii baada ya kuinstigate?
Kwanza kanyoe njo uje uongee hapa

This is too bad mkuu Mwita...Is better to dislike somebody behavior and not religious faith...Religious war is something bad and never try this mkuu...
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

kama Great Thinker unatakuwa kujua namna ya kuchukulia misimamo ya watu wengine, si kuwachukia. kama ukiamua kuwachukia kutokana na misimamo yao, je unataka na wao wakuchukie kwa sababu ya misimamo yako ambayo ni tofauti ya yao? Angalia mkuu, usije ukafa na kijiba cha roho bure...
 
Siriaz???????
thank God hilo jukwaa la siasa silipendi
huwa mnadiskas nini?
Au ndo zile za Manzese vibarazani wanadiskas uchumi wa marekani
wakati hawana redio wala Tv
data wanapata wapi?

Rejao, beba mitu yako mwondoke barazani kwangu
only83, pole!.

Usipompenda wewe, wenzako tamtamani!.

Ila pia hata kama ungempenda au usimpende, nadhani haijalishi kitu as long as humlishi wala humvishi!.

Huyu FF ni miongoni mwa vichwa vya ukweli humu jf japo....
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Simple wewe unatumia hela yako na muda wako wa ziada kutoa mchango wako kwenye JF lakini yeye analipwa na Magamba
 
Pole sana Only83. Shida FF ana majibu ya kung'ata. Ndiyo maana wengi wanakerwa naye. Anakung'ata anakuacha unachuruzika damu yeye anapotea. Utamkuta mbele ya safari tena.
 
Siriaz???????
thank God hilo jukwaa la siasa silipendi
huwa mnadiskas nini?
Au ndo zile za Manzese vibarazani wanadiskas uchumi wa marekani
wakati hawana redio wala Tv
data wanapata wapi?

Rejao, beba mitu yako mwondoke barazani kwangu

chukua hiyo :A S thumbs_down: halafu :focus:
 
dah..uyo demu nampendaje?natamani sana awe mke wangu!!Faiza bebi kama unasoma this
comment plz....plz nipe nafasi hata yakidumu kwako niko powa kuwa hata ndondocha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom