Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Sijawahi kumchukia mtu yeyote - kumbuka hilo.

Ushabiki wa kisiasa au wa Simba na Yanga hauwezzi kufanya niwachukie binadam wenzangu.

Hahahahaa sawa dadangu, ila sometimes huwa unaonesha chuki za dhahiri kwa wasio wa chama chako, au hasa wasio wa dini yako!
 
Sijawahi kumchukia mtu yeyote - kumbuka hilo.

Ushabiki wa kisiasa au wa Simba na Yanga hauwezzi kufanya niwachukie binadam wenzangu.

Mi nakupenda Sana FaizaFoxy ingawa sikipendi kabisa Chama chako. Usingekuwa ajuza, wallah ningeleta mahari kwenu!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa sawa dadangu, ila sometimes huwa unaonesha chuki za dhahiri kwa wasio wa chama chako, au hasa wasio wa dini yako!

Nisome vizuri tu, hakuna chuki, mimi nipo hapa kutowa darsa zaidi.

Kwanini nikuchukie? Kwa kuwa wewe unataka kumchaguwa babu gonjwa anaejinyea? Hapana, siwezi kukuchukia kwa hilo nnakuona kuwa ni mpumbavu tu. Yule yule uliyekuwa ukimnadi kuwa ni fisadi leo unatwambia siyo fisadi!
 
Hahahahaa lakini hata kaka yako ni mgonjwa pia mbona??? nimebadili msimamo wangu baada ya kuona yy amekuwa ni mtaji kwny chamq changu na anaonesha upinzani mkali dhidi ya chama chenu😉
 
Hata nyerere mkatoloki.?

Hata lowassa ya kweli hayo?

Naam, sijawahi kumchukia mtu, mimi husema ukweli tu. Either Black or White, no gray shades.

Mbona nilisema Maalim Seif Sharrif na Shein wa CCM hawafai kuwa Rais, na wao ni Wakatoliki au Walutheri? - Fikiri

Wakati wa kura za maoni chaguo langu la Urais lilikuwa Augustino Ramadhani, naye ni Muislam? Fikiri.
 
Naam, sijawahi kumchukia mtu, mimi husema ukweli tu. Either Black or White, no gray shades.

Mbona nilisema Maalim seif Sharrif hafai kuwa Rais, na yeye ni Mkatoliki au Mlutheri? - Fikiri

Pengine ni mshia na wewe ni msunni!!!?
 
Hahaha....mie na faizafoxy hatupendani, tena sanasana kipindi hiki cha uchaguzi ila kikipita tu, tutajifunza kupendana!

Sijawahi kuchukia mtu - kumbuka hilo.

Ushabiki wa siasa na nnayojibu JF mara nyingi huwa hata sitazami ID ni nani nnaemjibu kwani hainisaidii kitu, hatujuwani pengine tunakutana mitaani hatujuwani.
 
Kuna njia moja tu ya kujua uzuri wa faiza foxy.........Omba naye mechi kitandani ili ujue mautamu yake sita kwa sita........maana wenye majuba hawa wanakuwa watamu na wanangare za muda mrefu kiasi kwamba ukipata naye fursa inakuwa bombastic action.......viva faiza viva......
 
Pengine ni mshia na wewe ni msunni!!!?

Uislam umenifundisha kuwa Muislam haukunifundisha kuwa Sunni wala Shia.

Qur'an 2:208. Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi. ***

Hahahahaa lakini hata kaka yako ni mgonjwa pia mbona??? nimebadili msimamo wangu baada ya kuona yy amekuwa ni mtaji kwny chamq changu na anaonesha upinzani mkali dhidi ya chama chenu😉

Baada ya kumnunuwa Mbowe?

Sikushangai nawe utakuwa ni mchagga, bisha!
 
Back
Top Bottom