Simpendi faizafoxy...sijui kwanini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by only83, Dec 11, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

  Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  sio wewe.
  Umeshajiuliza anapataga mda saa ngapi japo kusafisha injini yake?

  Mwanamke gani hana mipaka.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Kujipendekeza kuko kwa aina nyingi, hii nayo ni mojawapo
   
 4. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unahitaji MAOMBI......
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  mimi nampenda sana huyu mwana-JF.................................ningelikuwa badi zile enzi zangu ningemfuatilia kwa khali na mali...........................bahati mbaya sana sasa nimezeeka sana............................lol endeleza mawimbi yako faizafoxy.......................it is free World with almost zero censorship.............
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Agree to disagree,haina haja ya kumchukia mtu
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  huyu madame ni hatari kama messi wa barcelona.
   
 8. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kha! Wewe una lako jambo. Au ulipigwa kibuti?
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  I like everything about FF but her religious faith.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hiyo nyekundu sio mahala pake hapa.
   
 11. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  ACHA HIZO MKUU, MPENDE ADUI YAKO NDIYO KANUNI KUU, ZINGINE BLABLA. badilika kifikra utampenda. fahamu yy kuna vitu anaviamini ambavyo kwa wengine ni ngumu, lkn sio 7bu ya kumchukia tafadhali ukubali uwe na amani moyoni/rohoni mwako, sina maana awe mwokozi wako no. Kama huwezi nakushauri mtafute umwambie tatizo fasce to face, kisha mpatane au mhamishe ajiunge na kambi yako
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hata yeye HAKUPENDI... Hajasema tu.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  umeonaee!! mijitu mingine sijui ikoje!!
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  faizafoxy hapendi anachokifanya'ni kazi na analipwa'nataka ujue ff sio mtu bali kikundi cha watu wengi'ndio maana walijisahau wakaonyesha ile kitu ya kuwa online 24hrs'hakuna haja ya kuwachuukia
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ukimzoea hana tabu kabisa, lakini unaweza mweka kwa ignore list yako ili usije pata hasara ya kuvunja pc yako bure, teh teh
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ni kichwa cha ukweli...I think FaizaFoxy na AshaDii hawashikiki! Mi napenda kila kitu kutoka kwao!:peace:
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hamuonani mnachukiana mkionana je?
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapa unachukua nafasi ya ff kumjibu au unaungana na huyo mbeba box kushangaa kwamba mtoa mada anajipendekeza!?!!
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hawashikiki kwenye nini??
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa kila kitu!!!
   
Loading...