Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Mkuu huwezi kumchukia mtu bila sababu za msingi, labda mtazamo wako kwa huyu FF ni tofauti na alivyo yeye. unaweza kuwa unamchukia kwa sababu binafsi au kwa sababu tuu ya msimamo wake katika uchangiaji wake, binadamu ndivyo tulivyo kujenga chuki na mtu ambae hata profile yake hatuifahamu....licha ya kuwahi kuonana uso kwa uso. badili mtazamo kifikra vinginevyo atakusababishia hasara pale unajikuta unaharibu computer yako.
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Nafikiri utapata stress bure hapo baadae! Mambo madogo ya kutofautiana mitazamo na Faiza unatamani kuvunja PC! Pole.
 
...Kuna watu wengi humu JF
ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi
kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa
FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au
threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui
kwanini.

ungejua na yeye akupendi usinge jaribu ata kidogo utapewa za uso lol
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Huwa najifunza mengi kupitia kwake
 
Me nampenda sana ananifurahisha sana, analiweza kweli jukwaa la siasa.
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

yeye CCM wewe CHADEMA wapi na wapi
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Commit suicide
 
Mleta uzi, Hata mitume ilichukiwa seuze Da #faizafoxy ?...go on na chuki zako,utakufa siku si zako, jifunze KUKUBALIANA KUTOKUBALIANA. Go on faiza! Dunia ingekuwa na watu wenye killa kitu sawa hakika ingekuwa doro sana(boring)
 
Mleta uzi, Hata mitume
ilichukiwa seuze Da
#faizafoxy
?...go on na chuki zako,utakufa siku si zako, jifunze KUKUBALIANA
KUTOKUBALIANA. Go on faiza! Dunia ingekuwa na watu wenye killa kitu
sawa hakika ingekuwa doro sana(boring)

Naupenda sana Msimamo wa huyu Dada, anajua kupanga hoja na kuitetea kwa evidence ya facts! Anaonekana ni mjuzi wa mambo mengi, I have respect for this lady!
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Miaka minne imepita, bado tu hunipendi au umeanza kuuona ukweli?
 
Kumchukia mtu bila sababu Inamaamisha Una matatizo ya kisaikolojia. Kawaone madaktari
 
Hahaha....mie na faizafoxy hatupendani, tena sanasana kipindi hiki cha uchaguzi ila kikipita tu, tutajifunza kupendana!
 
Back
Top Bottom